AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,073
Da Asha nakuheshimu sana.Usitake heshima yangu ipungue kwa hicho ulichosema hapi juu.Huyo HS naha ustaarabu wowote kufanya hicho anachikifanya kazini kwake! Kijana naye ana kosa kuwasaliti wafadhili wake kwa kumvuruga HG akiwa kazini na kumshauri aache kazi ili asiwe HG tena!
Tausi Mzalendo naomba nishukuru kwa kunijulisha waniheshimu... I am humbled. In blue... bado nasimamia kauli yangu kua; kua house gal haina maana kua feeligs zinakua na utumwa.... Kupenda kuko pale pale bahati mbaya ama nzuri kampenda kijana wa hapo nyumbani kwa huyo kijana. Naweza kubali kua huyo kijana kamvuruga binti sababu tu! Ni mdogo na sidhani kama ana uwezo wa kum support wala kumuoa (kama nilivogusia last para in the first post); kwamba anapomuambia kua aondoke asiwe house gal yeye anampango wa kumsaidia vipi? other wise angekua kijana ana uwezo wa kumlea na kumuoa binti sioni tatizo bado...
Its the principle da Asha ! Ni suala la nidhamu na pia kutokuvunja uaminifu! Kupenda kupo siku zote haijalishi. Lakini huyu mkaka anachanga mapenzi kwenye eneo nyeti - kafadhiliwa.He cannot breach trust! Atafute HG wa jirani ampende kama ni mtaalam wa kudondokea HGs.Usaliti utaenda nje ya mipaka ya familia.Imagine wewe una watoto, umepata HG ukamwamini na akaweza kukufanyia kazi zako ukakaa na amani.Halafu mtu wa ndani anamrubuni ungejisikiaje? Ningemuona wa maana kama baada ya kumpenda HG, angethubutu kumwambia kaka yake kuwa kaka, nimempenda huyu dada wa kazi, nataka kumuoa.Hapa angekuwa ameweka nia wazi na hata kama kuna kukasirika, ingekuwa haina maana na angesamehewa.Hili la kufanya mambo ya aibu kwenye giza ndilo ninalipinga. Mapenzi hayajalishi nampenda nani maana hata HG ni wanawake kama wengine.Wana haki ya kupendwa na kupenda.Hujasikia hata makazini, wale wanaofanya mapenzi kazini kuna suala la kukiuka maadili?.
I do agree with the principle... Ila naomba unijibu maswali haya:-
- Kijana angekua na uwezo kabisa wa kumuoa binti (HG) would it have been still wrong kuingia katika dimbwi la Mapenzi sababu anaishi hapo nyumbani?
- Nilijibu kwa vigezo ambavo Wali Mweusi alizungumzia... tone, maneno na maelezo yake ni kana kwamba kosa ni kupendana na huyo binti hali anfadhiliwa na kakake ambae ni Boss wa HG - Hivo basi for instance angempenda binti amtongoze kua atamuoa (kwa nia thabiti kabisa) je bado angekua in the wrong?
- In red I do support you na reading btn the lines twapishana badogo sababu ya hapo.... But Hio in beige color je utaifafanua vipi kwa wale wanakutana na kutongozana makazini hadi kuonana.... Will it still be called kuvunja maadili?
Hapo bold tuko pamoja sana.Na kama hali ni hii wote HG na kijana ni wajinga wasio na mfano.Ni kama vipofu wawili wanaelekezana njia.Hapo hakuna mwenye mwelekeo wa maisha wa kumsaidia mwingine bali wametawaliwa na tamaa za mwili tu hakuna lolote.
I am glad we do agree on the above Tausie.....