Hivi ndo tutakuza uchumi baada ya uchaguzi

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,140
3,209
Ili uchumi wetu ukue, lazima serikali i-create export kwa ku pump billions kwa few individuals. Individual hawa ili waweze ku-compete globally. Hii technique ndo inatumiwa sana na serikali ya china kuyawezesha baadhi ya makampuni ambayo sasa yanauwezo wa kupigana kokote duniani.

Serikali ifanye je?
Kwa mawazo yangu, serikali itafute wa Tanzania ambao tayari ni raia wa nchi nyingine iwape washauri na iwawezeshe kifedha na kufungua miradi mikubwa huko ambayo itakua inapokea products za Tanzania na kuziuza huko ugaibuni.Mfano Mtanzania akifungua duka la samaki kubwa pale london na akawa anapokea minofu kutoka pale mwanza binafsi naamini atakuwa capable ku-compete globally ktk soko la samaki and hence export itaongezeka pia uchumi wa nchi.
 
Ni vigumu kuwa na uchumi bora kama export ni finyu. Vitu vya export tunavyo lakini kama individual haiwezekani serikali lazima i-pump fedha kwa wachache ambao wata create export na hao wachache huko waliko wa invest kama local investa na sio kama wageni. Nashauri hili jambo serikali iliangalie kwa mapana yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom