Hivi ndiyo wanafunzi wa Bongo wanavyosafiri

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082

1017.jpg

Hivi ndiyo wanafunzi wa Bongo wanavyosafiri
 
Sina shaka kabisa kusema hii ni vijana wetu wale wanaosoma shule za njia ya kwenda Moro-(Kibaha - Mlandizi). Tabu tubu.
 
Hivi kwa utaratibu huu tunaweza kupata viongozi bora kweli? manake watatakuwa wanafikilia shida tu kila wakati.mhhhhhhhhh:angry:
 
Wakifika darasani wako hoi, wamechafuka hata material haziingii tena kichwani, wanaanza kuwaz namna ya kurudi nyumabini tena baada ya masomo,tabu tupu.Hiyo ndo Tanzania yetu ilianzia na "Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya, ikafuatiwa na "ajira kwa kila mtanzania", na sasa computer kwa kila mwananfunzi wa secondary.Mambo hayo!
 
inanikumbusha pia wanafunzi wa arusha wanaosoma oljoro secondary wanapanda magari ya mchanga na ndio usafiri wao kila siku:brick:
moz-screenshot-2.png
 
Daaa kazi kweli kweli, hao ndio madaktari, maprof, injinia nk wa taifa lijalo, huu haya sio maandalizi mazuri.Tanzania zaidi ya uijuavyo.
 
Sina shaka kabisa kusema hii ni vijana wetu wale wanaosoma shule za njia ya kwenda Moro-(Kibaha - Mlandizi). Tabu tubu.

charambe-maji matitu, mbagala.

3bln dished to brasil team, very disgusting
 
Wakifanya vibaya katika mitihani wanalumiwa kuwa hawasomi? Je Mkwere anarandaranda na XL huwa hawaoni? Haimuumi? Shame the government kwa kushindwa hata kuwahakikishia wanafunzi usafiri kama walivyo wanajeshi na mapolisi was jiji la Bongo
 
Na bado tunathubutu kutoa ahadi ya kila mwanafunzi kuwa na computer yake!!!!!!!!??????
 
Na bado tunathubutu kutoa ahadi ya kila mwanafunzi kuwa na computer yake!!!!!!!!??????

Hizo ahadi hewa tumeshazizowea. Ya maisha bora kwa kila Mtz iko wapi. Inabidi tuwe tunawauliza wanapotutembelea au kwenye kampeni zao, ila jiandae kuambiwa umetumwa na wapizani na unaweza kuishia kuhojiwa kituo cha polisi.
 
Nakumbuka mwaka juzi, Lindi.
Kuna msamalia mwema aliwapa lifti wanafunzi kwenye roli la kokoto. Kwa bahati mbaya roli likapata ajali na wanafunzi wote walijeruhiwa vibaya.
Maskini yule dereva alikipata cha moto.
Anajuta kwa wema wake.
 
charambe-maji matitu, mbagala.

3bln dished to brasil team, very disgusting

Kunduchi, Mbezi Beach! This is Bagamoyo Road! Ukipita Mwenge asubuhi (hata jioni) ndo utakutana na mabo haya!
 
Daaa kazi kweli kweli, hao ndio madaktari, maprof, injinia nk wa taifa lijalo, huu haya sio maandalizi mazuri.Tanzania zaidi ya uijuavyo.

Aah wapi??? Hao wanatokea kwenye shule za academy (a.k.a FM ACADEMIA) na wala siyo za Kayumba (a.k.a MSONDO NGOMA!)
Chunguza mjomba, Utabaini!!!!
 
badala ya kuwaboreshea usafiri. eti tuna pango wa kuhakikisha kila anapata computer kila dawati ifikapo mwaka 2012
 
Back
Top Bottom