Hivi ndivyo wanavyofundishwa watoto wa siku hizi huko kindergarten!

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
A for ATM
B for BLACKBERRY
C for CPU
D for DVD
E for E MAIL
F for FACEBOOK
G for GOOGLE
H for HAMMER
I for I-PHONE
J for JAVA
K for KISS
L for LAPTOP
M for MICROSOFT
N for NOKIA
O for ONLINE
P for PLAYSTATION
Q for QUALITY
R for RICHMOND
S for SOFTWARE
T for TWITTER
U for UEFA(CHAMPIONS
LEAGUE)
V for VAMPIRE
W for WALLPAPER
X for XBOX
Y for YAHOO/YOUTUBE
Z for ZOMBIES
 
Hakuna B bila BB
Eti hakuna Bread bila BlueBand
Watoto wa dhaifu nao wanamambo...
 
whaw!! this is so challenging, no wonder watoto wa siku hizi wana akili ya maisha. ujue vitu unavyofundishwa unajitahidi hata siku moja uvione sasa vitu kama hivi vitaleta challenge.

nb: Kwa TZ kuna vitu vingine kuviona kwa shule za uswazi ni ndoto, like H.
 
Mhhh me sikufundishwa haya ya kizungu jaman,mliosoma vidudu kizungu mlikuwa na uwezo nyie...
Nilifundishwa haya hapa
A-inamkia mrefu a a a
E-inamkia mfupi e e e
I-ina kofia juu i i i
O-ipo kama yai o o o
U-ipo kama kikombe u u u
 
Mhhh me sikufundishwa haya ya kizungu jaman,mliosoma vidudu kizungu mlikuwa na uwezo nyie...
Nilifundishwa haya hapa
A-inamkia mrefu a a a
E-inamkia mfupi e e e
I-ina kofia juu i i i
O-ipo kama yai o o o
U-ipo kama kikombe u u u

a-ndio mwanzo wa kusoma, e-kama mtu kainama, i-kama mtu na kofia, o-kama yai la kuku, u-kama kikombe cha chai!
 
Kwel kuna tofaut st kayumba na wale wa mery mery,nakumbk kweny alfabet pale 2likua 2nasema l, meno, p, q, instead of l, m, n, o, p, q
 
And E for EPA
R for Richmond
D for Dowans
S for Symbions
R for Radar
T for Tundu
L for Lisu
 
Back
Top Bottom