chipanga
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 710
- 434
Katibu mwenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye akiwaimbia wimbo maelfu ya wafuasi wa chama chake waliofurika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni mjini Mbeya. Na kama haitoshi akaongeza na vionjo vya gitaa huku Spika wa zamani na mbunge wa Urambo magharibi Mheshimiwa Samwel Sitta akionyesha namna ya kuucheza wimbo huo.