hivi nini maana ya kupita bila kupingwa...mimi nadhani ni kwa sababu alikuwa chaguo la wana muleba...na kuwa chaguo la wanamuleba maana yake nini...maana yake walikuwa na imani kubwa dhidi yake...hata vyama vya upinzani vilimwamini mama huyu...hii ndio maana yangu hasa ya kusema alichaguliwa na wanamuleba...nadhani tunaweza kuelewana mwana jf mwenzangu...
Hizi pumba.