Hivi ndivyo asemavyo Joseph Selasini ktk wallpost yake FB

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,364
[h=6]Marekebisho ya kwanza ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2010 yanayotarajiwa kufanyika hivi karibuni; Yawafundishe Wabunge wa CCM kutokukurupuka kwenye Masuala ya Msingi ya Kitaifa.[/h]
 
Sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2010??????.....kweli watu wengine ni vilaza.
 
Niliambiwa na mbunge mmoja wa magamba kuwa huyo bwana thirty ndiyo alianzisha ishu ya posho wakiwa kwenye kikao cha matayarisho ya kuanza bunge ambapo kila mtu hutoa ideas zake na yaliyofanyika jimboni kwake. Aliwaasa wabunge wote kuweka kando tofauti zao za vyama. Kama Kaka Cheyo kwenye posho ya jimbo vile. CHADEMA wanatakiwa kudili na shibuda na huyu thirty mapema.
 
haswaaaaaa!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom