Hivi ndg mh. Meck sadiki yuko wapi?

zaidi ya kwenda kumpokea mheshimiwa pale airport hua anafanyaga nini kingine??

Kuahkiki wahamiaji wa Mabwepande wake comfortable katika mahema yao na kupokea donations toka kwa taasisi mbalimbali kama mabati, matanki ya maji na vyakula kwa wakzi wa Mabwepande!

Ni shughuliyenye kuchosha na foleni za njia ya Bgmy si mchezo hadi amekuwa akipewa gari ya polisi kusafishia njia akienda kupokea misaada! Hakika likizo ni MUHIMU baada ya wakazi wa Mabwepande ku-settle mahemani kwao:-(
 
Anaandaliwa kufuata njia ya makamba, i.e after u-RC awe General secretary wa ccm magamba, so yuko kwa prof maji marefu.
 
Hivi Rugimbana hawezi kukaimu ukuu wa mkoa kuliko kumlipa pa diem mtu wa mkoa mwingine..

Yawezekana Rugimbana ni WAKUJA ZAID; Karagwe vs Tanga..Tanga ni karibu zaidi na DSM=wa Tanga ni wakuja wakaribu zaidi:). Nawaza tuu kwa sauti..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom