Hivi nchi bila chama haiongozwi?

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Naomba kufahamu,zipo tawala mbalimbali duniani,asilimia kubwa ya viongozi wa nchi huambatana na sera za vyama walivyopatia madaraka.Mpinzani nae hutengeneza sera zake.Hakuna anaetoka nje,wote tumo ndani ya nchi hiyo.Sera nyingi na tamu vitabuni tu utekelezaji ziro.Sasa,mnaonaje tujaribu watu wasiotokana na vyama,tuwe na mamlaka ya kuwahoji utendaji wao?Haiwezekani kuongozwa bila chama?
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom