Hivi nani kayaleta haya ma caro light?

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,720
19,860
Daa aunt yangu kawa kama ngedere kwa sababu ya haya ma caro light mwanzon alikuwa na weusi wake mzuri roho yangu imeniuma hadi Prof Anna Tiba nae eti ameshaingia kwenye haya ma caro light.
 
Madhali wanaoyatumia wanayatumia kwa utashi wao sioni ubaya. Kwao weupe huenda ndiyo dhana ya urembo.
 
MA-CAROLIGHT si mabaya kama yanavyojadiliwaga.. me nahisi ni ukosefu wa utaalamu jinsi ya kuyatumia! Tatizo letu wabongo tunafanya vitu kwa MAZOEA, hata vile ambavyo vinahitaji utaalam tunaingiza MAZOEA ! Mbona kuna wanaotumia hiZo CAROLIGHT na wako poa tu?? AU ndio ZIMEWAKUBALI???...

Ngozi zetu zinatofautiana, Hivyo hatuna budi kujua ni kwa kiwango gani tu-apply hizo caro-lights kulingana na mahitaji ya ngozi zetu.. SISI TUNABAHATISHA ! kisa, ASHURA anatumia halafu anatoka chicha ile mbaya..!!!

GIRLS, WATCH-OUT!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom