Hivi namba za vocha za simu za kuongezea salio zinatengenezwa na programme gani?

Kila vocha ina tarehe ya mwisho wake wa matumizi, wewe ukishaitumia hifadhi vizuriii... muda wake ukiisha hurudishwa tena sokoni kwa matumizi, na huo ndio muda wako muafaka wa kuenjoy vocha zako ulizokuwa umehifadhi hapo awali
 
acha kutudanganya hapa
 
Wakuu, hivi ni akili gani imetumika kutengeneza hizi namba za vocha kiasi hata ufanyaje hauwezi kupatia kuingiza namba hizi kwa kubuni na ukapata salio,ni nini kimefanyika?

Wajuvi mtujuze mkijuacho,nimeamua kuwaza tu kwa sauti...
Swali hili liliwahi kuulizwa na Michael Ngusa Dec 2014 na nilimjibu kwa kirefu na kitaalam kama ifuatavyo:

Hesabu lake liko hivi:

Kuna digits 10 tu yaani 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Namba za siri kwenye vocha zipo 14

Ukianza kubahatisha, uwezekano wa bahatisho la kwanza kuwa sahihi (kwa mfano kama namber sahihi ni 4) ni:
1/10

uwezekano wa bahatisho la pili kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili tuseme ni 7 (yaani 47) ) ni:
1/100

uwezekano wa bahatisho la tatu kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili ambayo ni 7 na ya tatu tuseme ni 9 (yaani 479) ) ni:
1/1000

tukiendelea hadi number zote 14 zipatikane kwa usahihi itakuwa hivi kwa kifupi:

bahatisho (event) na uwezekano (probability)

la kwanza 1/10
la pili 1/100
la tatu 1/1000
la nne 1/10000
la tano 1/100000
la sita 1/1000000
la saba 1/10000000
la nane 1/100000000
la tisa 1/1000000000
la kumi 1/10000000000
la kumi na moja 1/100000000000
la kumi na mbili 1/1000000000000
la kumi na tatu 1/10000000000000
la kumi na nne 1/100000000000000

Uwezekano wa mabahatisho yote 14 kuwa sahihi ni:

1/10 x 1/100 x 1/1000 x 1/10000.................................x 1/10^14

ambapo jibu lake ni 1x10^105 au 1/10^14! (! siyo alama ya mshangao bali ni alama ya kihesabu (factorial) kama vile 5!=5x4x3x2x1)

hivyo basi uwekano wa kupata numba zote 14 zikiwa sahihi ni:

0.0000000000000000000000000000000000000000000000..............endelea mpaka zifike sifuri 105! (! hapa ni alama ya mshangao)

AMBAYO KWA MANENO YA KITAKWIMU NDIYO KUSEMA TU NI VIGUMU MNO (ALMOST NO CHANCE)!!!

HITIMISHO: UWEZEKANO WA KUBAHATISHA VOCHA NI MDOGO MNO!.

USHAURI: NENDA KANUNUE KWA WAUZAO KAMA UNA FEDHA.
 
Kama umesoma probability form four utaelewa inawezekana japo chances ni ndogo na attempts zinatakiwa ziwe nyingi sana.
 
Kaa hapo hapo
 
Kama hizi hesabu zimevumbuliwa na mwanadamu. Basi tukae tukijua wapo binadamu wachache wanayombinu ya kugundua hizo namba. Tatizo watu wenye uwezo huo wana mambo mengine makubwa kiasi kwamba huo ni kama mchezo wa kitoto
 
Kila vocha ina tarehe ya mwisho wake wa matumizi, wewe ukishaitumia hifadhi vizuriii... muda wake ukiisha hurudishwa tena sokoni kwa matumizi, na huo ndio muda wako muafaka wa kuenjoy vocha zako ulizokuwa umehifadhi hapo awali

ntaanza kuhifadhi
 
Nkwel uko sahihi
 
Kila vocha ina tarehe ya mwisho wake wa matumizi, wewe ukishaitumia hifadhi vizuriii... muda wake ukiisha hurudishwa tena sokoni kwa matumizi, na huo ndio muda wako muafaka wa kuenjoy vocha zako ulizokuwa umehifadhi hapo awali
Acha urongo madhee
Mkuu vipi ndo unaisoma namba auuu?
Hapa ndo nagundua kuwa alietengeneza simu hakua na nia mbaya, ila mnafiki na mpuuzi ni aliegundua vocha
 
Kama watu huwa wanakosea kupiga namba na ikaita kama kawaida, kwanini wasikosee kuingiza vocha na ikaingia kama kawaida kwa sababu vocha ni nyingi kuliko namba!
Hata sasa hivi ukisema nibuni namba na ikaita naweza.
Naona kuna mchezo fulani tu hatuujui.
 
Swali hili liliwahi kuulizwa na Michael Ngusa Dec 2014 na nilimjibu kwa kirefu na kitaalam kama ifuatavyo:

Hesabu lake liko hivi:

Kuna digits 10 tu yaani 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Namba za siri kwenye vocha zipo 14

Ukianza kubahatisha, uwezekano wa bahatisho la kwanza kuwa sahihi (kwa mfano kama namber sahihi ni 4) ni:
1/10

uwezekano wa bahatisho la pili kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili tuseme ni 7 (yaani 47) ) ni:
1/100

uwezekano wa bahatisho la tatu kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili ambayo ni 7 na ya tatu tuseme ni 9 (yaani 479) ) ni:
1/1000

tukiendelea hadi number zote 14 zipatikane kwa usahihi itakuwa hivi kwa kifupi:

bahatisho (event) na uwezekano (probability)

la kwanza 1/10
la pili 1/100
la tatu 1/1000
la nne 1/10000
la tano 1/100000
la sita 1/1000000
la saba 1/10000000
la nane 1/100000000
la tisa 1/1000000000
la kumi 1/10000000000
la kumi na moja 1/100000000000
la kumi na mbili 1/1000000000000
la kumi na tatu 1/10000000000000
la kumi na nne 1/100000000000000

Uwezekano wa mabahatisho yote 14 kuwa sahihi ni:

1/10 x 1/100 x 1/1000 x 1/10000.................................x 1/10^14

ambapo jibu lake ni 1x10^105 au 1/10^14! (! siyo alama ya mshangao bali ni alama ya kihesabu (factorial) kama vile 5!=5x4x3x2x1)

hivyo basi uwekano wa kupata numba zote 14 zikiwa sahihi ni:

0.0000000000000000000000000000000000000000000000..............endelea mpaka zifike sifuri 105! (! hapa ni alama ya mshangao)

AMBAYO KWA MANENO YA KITAKWIMU NDIYO KUSEMA TU NI VIGUMU MNO (ALMOST NO CHANCE)!!!

HITIMISHO: UWEZEKANO WA KUBAHATISHA VOCHA NI MDOGO MNO!.

USHAURI: NENDA KANUNUE KWA WAUZAO KAMA UNA FEDHA.

Mkuu while logic yako ni sahihi, mahesabu umekosea kidogo, kuna kitu umekisahau kidogo.
Umesahau kuaccount for the fact kua kuna vocha nyingi zinazokua printed, wewe umetafuta probability ya kubahatisha vocha moja out of hiyo 10^105 ambayo ni combinations ya all the numbers, ila umesahau kua kuna uwezekano wa kuwepo vocha milioni kadhaa sokoni at the same time, kitu ambacho kina~lower hiyo probability. Japo ni kweli still ni a very huge number kubahatisha namba zote.
 
Swali hili liliwahi kuulizwa na Michael Ngusa Dec 2014 na nilimjibu kwa kirefu na kitaalam kama ifuatavyo:

Hesabu lake liko hivi:

Kuna digits 10 tu yaani 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Namba za siri kwenye vocha zipo 14

Ukianza kubahatisha, uwezekano wa bahatisho la kwanza kuwa sahihi (kwa mfano kama namber sahihi ni 4) ni:
1/10

uwezekano wa bahatisho la pili kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili tuseme ni 7 (yaani 47) ) ni:
1/100

uwezekano wa bahatisho la tatu kuwa sahihi (yaani number ya kwanza ambayo ni 4 na ya pili ambayo ni 7 na ya tatu tuseme ni 9 (yaani 479) ) ni:
1/1000

tukiendelea hadi number zote 14 zipatikane kwa usahihi itakuwa hivi kwa kifupi:

bahatisho (event) na uwezekano (probability)

la kwanza 1/10
la pili 1/100
la tatu 1/1000
la nne 1/10000
la tano 1/100000
la sita 1/1000000
la saba 1/10000000
la nane 1/100000000
la tisa 1/1000000000
la kumi 1/10000000000
la kumi na moja 1/100000000000
la kumi na mbili 1/1000000000000
la kumi na tatu 1/10000000000000
la kumi na nne 1/100000000000000

Uwezekano wa mabahatisho yote 14 kuwa sahihi ni:

1/10 x 1/100 x 1/1000 x 1/10000.................................x 1/10^14

ambapo jibu lake ni 1x10^105 au 1/10^14! (! siyo alama ya mshangao bali ni alama ya kihesabu (factorial) kama vile 5!=5x4x3x2x1)

hivyo basi uwekano wa kupata numba zote 14 zikiwa sahihi ni:

0.0000000000000000000000000000000000000000000000..............endelea mpaka zifike sifuri 105! (! hapa ni alama ya mshangao)

AMBAYO KWA MANENO YA KITAKWIMU NDIYO KUSEMA TU NI VIGUMU MNO (ALMOST NO CHANCE)!!!

HITIMISHO: UWEZEKANO WA KUBAHATISHA VOCHA NI MDOGO MNO!.

USHAURI: NENDA KANUNUE KWA WAUZAO KAMA UNA FEDHA.

duh,,,,,yaaaaani mi na namba ni tofauti
 
hizo ni number za kawaida na pia vocha ina serial number ndo maana number za vocha zinaweza kujifuta wakati unakwangua vocha ukapiga simu huduma kwa wateja watakwambia uwatajie serial number ambazo ni 15 hizo serial number huwezi ndo zinaingizwa kwenye database ya mtandao husika na hizi zinakuwa na mfumo wa bar code chenye thamani katika vocha si zile number zilizofichwa
 
Wakuu, hivi ni akili gani imetumika kutengeneza hizi namba za vocha kiasi hata ufanyaje hauwezi kupatia kuingiza namba hizi kwa kubuni na ukapata salio,ni nini kimefanyika?

Wajuvi mtujuze mkijuacho,nimeamua kuwaza tu kwa sauti...
ikitokea wanakufunga komputa kwenye ubongo,,,,ili kuweza kukutambua umebuni vocha ngapi kwa siku,,,,,,,,,,,,teh dunia itahama hii ikitokea,,,,,
 
Back
Top Bottom