Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

Mtoa mada (japo ni ya cku nyingi) ameniudhi kwa sababu sekondari aliyosoma inanihusu. hawa ndio wale waliokuwa wanakariri shuleni. Ivi unafikia hata kulinganisha Mzumbe University na UDOM? Toka na cheti chako cha UD au UDOM ukashindane na mtu aliyesoma Mzumbe ktk mazingira neutral (sio ya kamlete) uone!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom