Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

uandishi wako uko kama wa face book. usiandike kihuni kwenye jf badilisha jinsi unavyo andika. sawa
 
Mwambio huyo! Asiwe anaropoka ropoka tu bila mpangilio wa kihesabu! Mana anatushusha hadhi hadi sisi wanafunzi wa hapa kibaha sec tunaotegemea kwenda udsm next year.

heheheeee, karibu sana udsm. Piga book usisikilize maneno ya watu. Huyo jamaa wa ajabu sana.
 
Haya ona sasa na huyu...Aisee!! Hv watanzania mna nini jamani? Hv na wewe unajiona umechangia kama great thinker? Jamani narudia tena tujaribu kuwa serious na tuongeze umakini kidogo...Hii ni hatari kwa taifa letu,ukitaka kujua nchi ilivyo kwenye hali tete kaa hapa JF uone michango ya baadhi ya wanachama wa hili jukwaa ambao hawajui kwanini wameingia humu...Tuongeze umakini kidogo basi....
 
Kwa hii kauli hapa juu,
Mimi naona na wewe una analysis za kijinga. Yaani mtu mmoja ndio akufanye utuone sisi wanachuo wote wa udsm hatuna hadhi?

Kumbuka ulimwambia Senetor

sasa naona na wewe, unajishushia hadhi, Senetor ni Senetor, na alivyo yeye ni yeye, na sio wanachuo wa udsm wapo kama Senetor, kila mtu yupo kivyake. Wewe changia mada, sio kuhukumu tu watu na chuo kizima.

Mkuu nadhani wa kwanza kumlaumu ni huyo mleta thread aliyejisifu kuwa ni mwanafunzi wa UDSM...Narudia tena na wala sifuti kauli tena naandika kwa herufi kubwa...KAMA WANAFUNZI AU WAHITIMU WA UDSM NDIYO WAKO HIVI,BASI UDSM IMEBAKIA JINA NA MAJENGO TU...sitegemei mhitimu au mwanafunzi wa UDSM atoe uharo kama huu ni majitaka haya.....
 
heheheeee, karibu sana udsm. Piga book usisikilize maneno ya watu. Huyo jamaa wa ajabu sana.

Mkuu usisifie ujinga,huyo jamaa kwa taarifa yako huko UDSM hafiki na atapasikia kwenye redio tu...
 
Mkuu hata mimi nimemwambia,kama ndio wasomi wa UDSM wako hivi basi UDSM imekwisha kabisa na kubakia jina tu...Hajui kujenga hoja,hana mtiririko mzuri ili mradi kaandika tu.....

nimejaribu kumkumbusha mara kwa mara kuhusu uandishi wake ameshindwa kubadilika.
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...

Tufanye juhudi tufike angalau kwenye top 500 in the world. Habari ya kulinganisha vyuo vyetu nchini wakati bado tuko nyuma sana haitusaidii kwa sasa hivi. Wakati mwingine ukiwa unatembelea nusu kandambili halafu mwenzio yuko peku unaweza kujiona umefika lakini wenye macho ya kuona mbali bado wataona wote hali yenu ni mbaya!

Kila mtu anaweza kupenda chuo kwa sababu zake mwenyewe ambazo zinaweza kuwa ni za kweli au sio kweli lakini hauhitaji kushindana na watu au kuusadikisha umma kwamba unachofikiria ni sahihi. Mimi nimesoma Mlimani degree ya kwanza, na nilikuwa naona udsm ndio mwisho wa yote, ha ha haaa, inabidi nicheke kidogo. Sasa hizo zilikuwa ni enzi za giza kwangu. Lakini baadaye nilienda kufanya high degrees vyuo vingine nje ya nchi, lol, hapo ndipo nilipojifunza kuna vyuo duniani vimesimama na vinafanya vitu vya kweli na vinavyoonekana, yaani vyuo viko "smart" kupita maelezo, sio vyetu ambavyo kwa sehemu kubwa vinapolitiki tu. Mimi kwa mfano ukiniuliza hata kama nasinzia ghafla chuo gani unakipenda duniani? Nakujibu kwanza kabisa MIT halafu naishia na Cambridge. Hata kama nilisoma Mlimani sikitaji ng'o, labda kama nataka kuingiza siasa ndio naweza kukuambia UDSM, (tafadhali mie sio magamba). Lazima siku zote uwe na uchu wa kusonga mbele sio kutembea unarudi nyuma.

Angalia world rankings hapa kama utaona kitu kinachofanana na UDSM au Mzumbe, usipoona au ukikuta chuo unachokisifu kipo mbali, basi fanya juhudi ukisaidie ili kiwe hata kwenye top 500.

World's Best Universities; Top 400 Universities in the World | US News
 
Haya ona sasa na huyu...Aisee!! Hv watanzania mna nini jamani? Hv na wewe unajiona umechangia kama great thinker? Jamani narudia tena tujaribu kuwa serious na tuongeze umakini kidogo...Hii ni hatari kwa taifa letu,ukitaka kujua nchi ilivyo kwenye hali tete kaa hapa JF uone michango ya baadhi ya wanachama wa hili jukwaa ambao hawajui kwanini wameingia humu...Tuongeze umakini kidogo basi....

Confidensi ndizo zinazoleta umakini bro! So nakumwia kuwa MAKINI brother mbona unatakakuleta ubishi tena??!
 
mathematics question!

one poultry farm in
Kibaha secondary
which produces three
types of chicks , had its
six month report which
revealed that out of 126 of its regular customers,
65 bought broilers, 80
bought layers and 75
bought cocks, 45 bought
layers and cocks, 35
bought broilers and cocks , 10 bought
broilers only, 15 bought
layers only and 6 bought
cocks only, 6 of the
costemers did not show
up. (a) how many customers bought all
three products? (b) how
many customers bought
exactly two of the
farm's products?
 
Haya ona sasa na huyu...Aisee!! Hv watanzania mna nini jamani? Hv na wewe unajiona umechangia kama great thinker? Jamani narudia tena tujaribu kuwa serious na tuongeze umakini kidogo...Hii ni hatari kwa taifa letu,ukitaka kujua nchi ilivyo kwenye hali tete kaa hapa JF uone michango ya baadhi ya wanachama wa hili jukwaa ambao hawajui kwanini wameingia humu...Tuongeze umakini kidogo basi....

we jamaa unafaa kuwepo kwenye majukwaa ya siasa.
 
Mkuu nadhani wa kwanza kumlaumu ni huyo mleta thread aliyejisifu kuwa ni mwanafunzi wa UDSM...Narudia tena na wala sifuti kauli tena naandika kwa herufi kubwa...KAMA WANAFUNZI AU WAHITIMU WA UDSM NDIYO WAKO HIVI,BASI UDSM IMEBAKIA JINA NA MAJENGO TU...sitegemei mhitimu au mwanafunzi wa UDSM atoe uharo kama huu ni majitaka haya.....
kwahiyo tabia ya mtu ni chuo anachosoma au mtu mwenyewe? Mbona sijakuelewa. Kwanini unahukumu kitabu kwa kukiangalia kasha tu? Kisome ndio ujue kina nini.
 
Mkuu usisifie ujinga,huyo jamaa kwa taarifa yako huko UDSM hafiki na atapasikia kwenye redio tu...

we jamaa wa ajabu sana. Kwanini umwambie mwenzako hivyo? Ni ndoto zake, na sio zako. Mbona we kigeugeu hivi? Yaani mipango yake ndio unajidai kuipangua, wewe nani? Mkuu hebu kuwa mpole, JF SIO SEHEMU YA KUTOLEA HASIRA ZAKO.
 
Ulianza vizur lkn mwisho umetumia masaburi kumalizia mada.Mzumbe bado na kinaendelea kuwa chuo bora chenye kiwango kidogo sana cha vilaza ukilinganisha na vyuo vingne kama IAAA,UDOM na vyuo vingine

Back
Top Bottom