Hivi mzalendo.net wamesusia habari za Prof.Lipumba??

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,442
55,017
..nimetembelea kule na sijaona picha wala habari za ujio wa Prof.Nguyuru Ibrahim Lipumba.

..mbona habari za Maalim Seif, na Ismail Jussa, zinapewa coverage ya kutosha?

..je, huu ni muendelezo wa chuki na ubaguzi dhidi ya wa-Tanganyika?

..inakuwaje mtandao wa washabiki wa CUF usitoe habari zozote zile za ujio wa mwenyekiti wao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom