Hivi mwanamke kuwa na nyumba ndogo ni dhambi?

Hamana tatizo kwa Mwanamke kuwa na nyumba ndogo iwapo kama Mr. anayo. Tena haina haja yakukasirikiana na kuwa na jazba eti kuona Mr. anayo then na wewe uende kwa maasira kutafuta ya kwako. Cha msingi a woman should just be patient watakuja tuu kwa wingi kumtongoza na kumuomba huo urafiki. Nasema hivi unajua pale mapenzi yanapopungua au kutoweka kabisa...kuna chemistry fulani hutokea kwa mwanamke na automatically wanaume huanza kumtongoza hapa na pale. Sasa ni juu yake kukubaliana nao au kukataa.
wengi watakubali ushauri wako sbb akili zao ni kama wanavyokojoa mkojo hauendi mbali tofauti na mimi ninaye lenga mbali na isitoshe we mwenyewe ni mtiifu kweli ktk ndoa yako,akili ya mwamamke bhana ni kama urefu wa mkojo wake akiwa anakojoa
 
Hili ni swali hususan kwa kaka zetu.

Hivi sasa inaonekana ni hali ya kawaida na ni kama haki ya msingi kwa mume au wachumba jinsia ya kiume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

Wakati huohuo, binti au mke anapokuwa na uhusiano wa kimapenzi nje ya mpenzi'ye au mumewe huwa anaonekana kama doa katika jamii.

Swali langu ni hivi, je tatizo liko wapi katika hili?
Mfalme Suleiman alikuwa na wanawake wengi lakini hatujaambiwa mwanamke aliyebarikiwa kuwa na wanaume wengi
 
Back
Top Bottom