Hivi mwanamke kufanya naye sex nakutoka damu....

Zamani mimi kama hali kama hiyo nikikumbana nayo nilikuwa nawahi kujinyunyizia spirit nione kama nimechubuka! Lol

Hahahahaha ukiona shwari unajijua upo safe komredi hii dhana zamani nilikuwa nasikia eti ukimaliza ukinyunyuzia spirit unaua vijidudu
 
Thank you for the infomation, je hatazaa mana bado msichana hajaolewa...Au akijaa zaa kuna madhara yoyote yale.

Mana yule msichana anatoa reason kuwa pale kazini kwao yeye anasiimama sana, sababu anafanya kazi ya customer service, na boy friend wake ana kg 100 na yeye ana 45 kg....na wakati wanafanya sex anachukua time kupizi ndo sababu au kanipiga urogi tu.

BTW...(huyo ni gf wa jamaa mmoja)

Nisome tena hapo juu post no.14.
Kwa vile kuzaa ni majaaliwa na hatuwezi kusema ndio atazaa au hapana.Yatosha kusema KUWA, ili kujiridhisha sababu ya hiyo damu siyo magonjwa ya zinaa ambayo huweza kupunguza chances za kushika ujauzito, ni vizuri akawaone wataalamu wa magonjwa ya akina mama mapema.
 
mmh hii mpya kabisa sijawahi kuisikia
Sasa wewe si wanawake wote wanapo fanya sex wanatoka damu, nimepata infomation sasa hivi kutoka kwa Dr mmoja anasema hivi; Inawezekana she may just be experiencing the stimulation from the cervix, au inawezekana kipigo kikubwa anakipata huyo msichana kutoka kwa boy friend wake :biggrin:
 
Are you well endowed?
Sometimes size do matter. It can be her genital is small, and you are endowed and thrusting like you'll have her again, then she must bleed ofcoz.
 
Au li Athumani kicwa wazi lako lina kokoto na viwembe kwa mbele nini?
 
OMG!
Huyo mwanaume ana matatizo.
Unamfanya hadi damu inatoka.Uliambiwa ni ugomvi? Kama kubwa sana vaa ring special.
Utakuja kumtoa kizazi bure
 
Wewe unajua stimulation ya cervix? Ukigusa cervix hilo yowe atakalotoa mtaa wa tatu watakuja kama sio patrol car ya polisi!
Sasa wewe si wanawake wote wanapo fanya sex wanatoka damu, nimepata infomation sasa hivi kutoka kwa Dr mmoja anasema hivi; Inawezekana she may just be experiencing the stimulation from the cervix, au inawezekana kipigo kikubwa anakipata huyo msichana kutoka kwa boy friend wake :biggrin:
 
Au li Athumani kicwa wazi lako lina kokoto na viwembe kwa mbele nini?
Hahaha unachekesha sana yani mwanamke ukifanya nae sex na kutoka damu lazima mwanaume uwe una viwembe mbele :biggrin:
 
Ana miaka mingapi? ana dalili zingine kama kutokwa na maji machafu ukeni,kiuno kuuma,kuskia maumivu wakati wa mambo yetu,hedhi zake je anapata kawaida? na hiyo damu huwa inatoka kila anapofanya au? kutokwa damu baada ya sex siyo kawaida labda tu mschana anapotolewa bikira au akiwa kwenye cku zake na mara chache sana vaginal trauma during coitus japo hatutegemei damu iwe kiasi kingi hvo.kuna magonjwa mengi yanayosababisha postcoital bleeding as already mentioned above so ushauri wangu aonane na daktari kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom