Wakati hayuko kwenye period ni dalili gani....mgonjwa...hawezi kuvumilia mipigo au kitu gani.
Hii hutokea sana!
Wakati hayuko kwenye period ni dalili gani....mgonjwa...hawezi kuvumilia mipigo au kitu gani.
Mh! Ngoja waje wenyewe.......................
Hii hutokea sana!
Haipaswi kutokea. Labda kama ni mara ya kwanza.
Pia inategemea kama ni michubuko kidogo au ni mbubujiko.
Michubuko hata huyu muuliza swali asingegundua.
Komredi basi punguza kumsugua mwenzio maana utamsababishia cancer
Ni kweli haipaswi kutokea ila hutokea na wengine tumeshakumbana nayo sana tu!
Thank you for the infomation, je hatazaa mana bado msichana hajaolewa...Au akijaa zaa kuna madhara yoyote yale.Siyo dalili nzuri hata kidogo.Mshauri akafanye pap smear - ni kipimo cha kugundua saratani.
Moja ya dalili za cancer ya shingo ya uzazi ni hiyo!
Komredi wewe hujawahi kukutana hizo bakhti mbaya?
Hapo kama hukupiga magwanda ni kheri ucheck na vipimo vikubwa komredi