Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13??
Inategemea na kalenda unayo tumia, kama ile ya Wayahudi basi ina miezi 13.Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13??
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13??
Dunia hii hii, ila dah! si unajuwa wakati mwingie jua likizama, kutoka tena baada ya miezi miwili...!?Kwani wao wanakaa sayari nyingine tofauti na dunia?
Wakuu hivi mwaka ni miezi mingapi??12 au 13?? Mfano December to December nimiezi 12??au 13??
Kwani wao wanakaa sayari nyingine tofauti na dunia?
anza kuhesabu miezi kuanzia januari hadi disemba utapata miezi mingapi? Na unaweza kuanza kuhesabu disemba hadi januari. Ninakushauri tu hesabu hiyo uifanye ukiwa kitandani na sio barabarani.