Hivi mtu kuitwa celebrity anapaswa kuwa na sifa zipi?

Karryma

Member
Jan 31, 2012
11
0
Hili linaitwa jukwaa la
celebrities, je ni nini sifa za mtu kuitwa kuwa yeye ni celebrity hasa.
Tusaidiane
wakuu
 
celebrity ni mtu ambaye ni maarufu. Na anapata kumulikwa sana na vyombo vya habari.
 
Kwa bongo ni kuwa Malaya,kuonyesha uchi mbele za watu na kwenda leaders club.
 
celebrity ni mtu ambaye ni maarufu. Na anapata kumulikwa sana na vyombo vya habari.


Mkuu kuna tofauti kati ya celebrity na famous person (maarufu). Celebrity ni zaidi ya kua maarufu. Mfano, Anne Makinda ni mtu maarufu lakini si celebrity.
 
celebrity are people who do crazzy stuff and media tend to broadcast those things and they get people to be wondering what is wrong with the mentioned person kama kina wema etc people like mengi or bakhressa are not celebrity they are famous, famous people are those who have done something important for the society and media broadcast them
 
kama ni mdada hapa bongo ulowe na mthungu tu tayari wewe in selebreti, kwa wakaka sijui
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom