Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

Wanaoipenda ccm ni wale wanaopenda vitu haram watu wajinga wanaipenda ccm kwasababu hupata kanga, kofia,t-shrts haram hatahivyo inategemea na uelewa wa wapokeaji wa vitu hivyo haram kwani wengine hujikuta wamenasa nakuwapa kura... kwahiyo kuiacha ccm madarakan nikuendelea kukuza ujinga na kustawisha ufisadi.
 
Fanya kazi acha kupenda vya bure shauri yako

Watafanya kazi wapi wakat maccm yameua viwanda vyetu au unaongea tu kwa kuwa wew umewapata wajinga wenzako huko uliko jifungia na kula kama mchwa mali za watz

Angalia hii
Lisala fupi ya marehemu ccm
Marehemu ccm alizaliwa tarehe 5/2/1977
enzi za uhai wake alijishugulisha na kuua mazao ya biashara kama Pamba,Tumbaku,Kahawa,Korosho na Katani.Marehemu pia atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kuua viwanda vyetu kama,
Mwatex,Mutex,Kiltex,Ufi,Bora,Tanganyika packers nk.Pia aliwaleta na kuwapa Wageni mali za watz.Ameacha wachina Kariakoo,Waarabu Loliondo,Makaburu merelani na wazungu wa kila aina kwenye migodi ya madini na gesi sasa kwa mtaji hou unapataje nguvu ya kuzungumza eti watz hawafanyi kazi wapi wazifanyie mafisadi wakubwa nyie na mjue tu siku zenu ziznahesabika na mbaya zaidi zinarudi nyuma
 
Back
Top Bottom