Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

Mara baada ya uchaguzi wa 2010 nilimuuza jama yangu wa kijijini kwanini wanacahagua ccm. Akajibu kwamba wanahubiriwa kuwa vyama vya upinzani vitaleta vita.

1, Maji safi ya kunywa hakuna hata hopo dar ambapo ndio jikoni. lakini uchaguzi ukija ccm
Elimu - wattoto wengi wanamliza shule bila kujua chochote.
Afya wagonjwa wanalaa chini, dawahakuna, vifaa hakuna
Kilimo- Jembe la mkono la kisasa power tiler
Umeme kila mtu anajua
Reli usafiri ulio bora kabisa umetelekezwa.
Mipango miji. Miji yote ni uchafu mtupu. sehemu alizojenga mzungu ndio nzuri hadi leo. Oyterbay upanga, uzunguni nk. msahili tandale, manzese mbagala.

Viongozi wetu ni wanafiki sana matatizo yote hayo wanayajua lakini hakuna anayetaka kusema ukweli na kuyashughulia ipasvyo.

nasema Tanzania tunayo safari ndefu sana. Majirani zetu wanatuacha katika kila idara imgawa nchi yetu imebarikiwa kuwa kila sasilimali yakujiletea maendeleo.

Hivi lini watanzania wataamka na kuitosa ccm kwa kuwa ndio chazo cha matatizo yetu
Tunaweza tumethubutu tunasonga mbele
 
Labda kitu kimoja niweke wazi kuwa wale wengi waliokata tamaa mara nyingi huwa wanakuwa wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa. Kuna aina mbili ya kukata tamaa.

1. Wale wwasiofikiri nje ya boxi wanaohadaiwa na chama husika kupitia sera zenye maneno matamu na vijizawadi.
2. Wale wasiofikiria nje ya box wenye matumaini/mapenzi na viongozi fulani bila kujali kuwa hakuna vijizawadi. Huyu anategemea kuwa ampendae akitwaa madaraka yeye aliemchagua atatajirika na hali yake ya kiuchumi itakuwa na yule kiongozi yeye ataendelea kuwa masikini kwa mapenzi ya nchi na wananchi wake.

Kisha kuna wa aina ya tatu.

Hawa huwa hawana vyama na sio kwa kuwa hawana vyama basi hawapigi kura lah wanapiga kura wao wanaweza kumchagua diwani wa udp, mbunge wa cdm na raisi wa ppt maendeleo. Hawa ni aina ya watu ambao hawadanganyiki! kifupi wanaangalia manufaa ya taifa kwanza!

Sasa wewe mleta mada upo kundi gani? maana usije kuwa unamcheka kichaa wakati wewe ni crazy!

Thanks mkuu. MIMI niite vyovyote vile IWE KICHAA au CRAZY, ila nipambanue kwa kupenda haki na kuchukia CCM kuwa ni chama kilichochoka na kinachoongoza serikali legelege yenye kurudisha Wa TZ nyuma kmaendeleo.

Post yako imejaa ustaarab na uacademician sana.
 
Ukiona yeyote hata humu Jf wanashabikia/wanatetea ccm usibishane nao!!
UJUE WANA AKILI ZA KI-MAITI!!

Hah aha hah hah ahah ahah ..........! Nikweli mkuu. basi kama humu kuna maiti kule tunakokuongelea kumebakia MAFUVU mkuu!!!!!!!!!
 
Wana akili timamu vingenevyo tungekuwa na watu wengi sana mtaani/vijijini wanaotembea bila nguo na pengine wagonjwa wamefurika milembe!!

Kwahiyo ndivyoulivyosoma chini ya mwembe kuwa mtu asiye na akili timamu ni yule anayetembea bila nguo na aliyelzwa milembe!!!!??? Masikini! Elimu yetu nayo haijatusaidia kuwa na wasomi wenye kutafakari mambo. Ebu nikupe swali tofautisha hizi tungo mbili: Mtu huyu hana akili. Mtu huyu hana akili timamu.
 
Mkuu Paul Kijoka,mimi ni muumini mzuri wa kushindana kwa hoja na huwa siogopi kutofautiana na mtu.
Sasa naomba nikuulize,hivi akija mtu hapa jamvini akauliza hivi 'hivi wanaojiunga na jamii forums wanakuwa na akili gani? utasikiaje Mkuu? just be honest na unijibu ukweli wa nafsi yako.
Kijoka , nobody likes to have his intelligence insulted.Hebu rudi nyuma ujiulize ,hivi kweli wewe Kijoka unaweza kusimama mbele ya ma die hard CCM members mfano calibre ya Mzee Kahama,Mzee Mark Bomani,Mzee Warioba,Mama Mongella,Mzee Kajembe,Mzee Mtopa n.k and then with a straight face ukatamka maneno haya? au kwa vile upo nyuma ya pazia la jf?
Please please Kijiko jf uwanja ni wako lakini cheza na hoja usicheze na kebehi.
Nawasilisha
Bishanga Abashaija.
by the way, zamani nilikuwa mchangiaji mzuri jukwaa la siasa, lakini kwa sababu za wachangiaji kama Ndugu Kijiko niliamua kuhama,karibu Kijiko kwenye uwanja wa mahusiano na mapenzi(mmu) uje tuserebuke!

nobody likes to have his intelligence insulted. Which itelligency? Bishanga's?

Mzee Kahama,Mzee Mark Bomani,Mzee Warioba,Mama Mongella,Mzee Kajembe,Mzee Mtopa n.k Hawa jamaa hawana jipya. Hawawezi kusimama na kutetea haki. Wameelekea kwenye mlengo wa usanii pia.
kwa taarifa yako huyo niliyempa red watu wa Karagwe wanajuta kumfahamu, alichukua chake na kutambaa.

Hapo kwenye green Bishanga nadhani uko usingizini. Nadhani wewe kuigiza ndo kazi yako ila si kufatilia na kurekebisha hali. Huyo mama Ukerewe walisha mtimua. Hujui? Mfatilie.

Hao wengine wako kimya sana kiasi kwamba kama hawajafumbwa mdomo basi wanashauri kinyume nyume....

Na huwezi kuwa mzuri ndani ya mfumo mchafu. Ni swa na kuongeza lta moja ya damu safi ndani ya mtu mwenye virusi vya ukimwi.

Please please Kijiko jf uwanja ni wako lakini cheza na hoja usicheze na kebehi. Thibitisha usemi wako.

by the way, zamani nilikuwa mchangiaji mzuri jukwaa la siasa, lakini kwa sababu za wachangiaji kama Ndugu Kijiko niliamua kuhama,karibu Kijiko kwenye uwanja wa mahusiano na mapenzi(mmu) uje tuserebuke! nadhani sina sababu ya kupangiwa na wewe niingie upande gani wa JF kote naenda ila hapa kwenye siasa ndo muhimu sana kwakuwa maisha ya watanzania yanakutegemea mtu kama wewe na mimi kuwakomboa kwenye minyororo ya utumwa wa wakoloni weusi.

Pia kutochangia kwnye jukwaa la siasa hakuwanyimi wapiganaji wapya kujichanganya nadahni mtu kama kijoka atakuchokonoa mpaka utachangia.

Tanzania ni mali ya watanzania na si mali ya mafisadi.
 
Mtu anayeishabikia ccm akili yake inakuwa imechanganyikana na uchafu wa kwenye bwawa la mavi
 
Ila wakuu ni kweli great thinkers tunaichukia CCM kutokana na mabaya yake, ila ombi langu ni kuwa tunaisambaza elimu hii tunaipata humu kwa watanzania wenzetu walio gizani? Tukiweza kuwashawishi watu wengi wasio na access na social; networks kama hizi inakuwa ni njia nzuri, nakubali cdm imejitahidi kuamsha ari ya ukombozi lakini pia jukumu la kukomboa nchi yetu ni la kila mmoja. Mimi binafsi kila ninapokaa katika vijiwe naelimisha watu na imesaidia sana kwa watu wasiopita ktk mitandao kuwa updated. Jamani tuwaandae ndugu zetu kwamba 2015 tunachukua nchi.

Wa TZ mkuu wako tayari ila tu wanakosa mtu wakuongoza mapinduzi ya kweli! Wanajua kuwa wamekuwa wakivaa tishet na kofia za CCM kwa kipindi cha kampeni za uchaguzi ila wanaumia miaka mitano toka tupate uhuru!

Tatizo lililopo ni polis ambao nao ni choka mbaya.
 
CDM wakichukuwa nchi kila Mtanzania atanunuliwa Benz, Sukari bure, Saruji kama tulivyoambiwa na Dokta wa ukweli Slaa Baba Junior mfuko 5000.
 
Haswaa umenena mkuu.
Inabidi watu waamke , miaka ya vitu vya bure imekwisha kabisa na inaanza kutokomea katika kumbu kumbu za tulio wengi.

Utakuta mtu anazaa watoto sita hadi kumi, nyumba hana, shule hana wala kipato hana cha kutosha.K
ila kitu anategemea bure toka serikalini.
Kama ni afya na hospitali, masomo na shule.
Mtu huyu tayari amekuwa discarded from society maana watoto aliowazaa wamekuwa tegemezi toka kuzaliwa.
Walio mashambani mambo ni mabaya zaidi, na hapo ndio umoja katika maendeleo una maana katika jamii.
Umoja huo ukitumika kuondoa kero za binafsi mtu huna haja ya chama kukuondoa ufukara.
Kwa wale wanaotegemea chama fulani ndio kitawaletea mkate mezani bila kujibidiisha watasubiri mpaka kurudi kwa Messiah.

Siamini kama wewe ni msomi au la! Na kama ni msomi sina uhakika na elimu mbali na kuwa unaweza kuwa na vidato na degrees nyingi tu. Kuna mahusiano makubwa sana kati ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa zima na uwepo wa serikali makini kuelekea kwenye maendeleo. Nikuelimishe bure: China ina watu wangapi? India nayo?
Sawa na hawa wana matatizo hasa india sasa tuseme,

kazaa mtoto mmoja, kampeleka shule ya kata akapata zero kwa kuwa hakuna miundombinu na wali kwa ujumla, tatizo ni la nani?
 
Mpaka leo sijielewi, hivi nkitoka CCM ntakula nini, ntaishi vipi? Naona upinzani wana maono mazuri lakini njaa yangu inanibakiza CCM. Huku kwetu ukiropoka tu, ka cheo tayari, sio ndo maisha bora hayo. Mtanisanehe bure.

sasa CCM inakaribia kufa. utaend wap! na tuseme unakaribia kufa, utajibu nini mbele ya baba yetu!
 
Siamini kama wewe ni msomi au la! Na kama ni msomi sina uhakika na elimu mbali na kuwa unaweza kuwa na vidato na degrees nyingi tu. Kuna mahusiano makubwa sana kati ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifaUj zima na uwepo wa serikali makini kuelekea kwenye maendeleo. Nikuelimishe bure: China ina watu wangapi? India nayo?
Sawa na hawa wana matatizo hasa india sasa tuseme,

kazaa mtoto mmoja, kampeleka shule ya kata akapata zero kwa kuwa hakuna miundombinu na wali kwa ujumla, tatizo ni la nani?
Bwana(au sijui bibi kwa avatar yako!), achana na usomi wa madigirii na vidato, tumia common sense tu.

Zaa mitoto kumi na upate presha ya bure maishani.
Usifanye kosa la kujilinganisha na hao wachina au Wahindi kwa vile wewe huyawezi ya Kwao, fikiria tu wenzetu wanavyo fanya kazi Kama mtu binafsi na ujilinganishe na mjomba wako kijijini.
Endelea tu kuilaumu serikali ikupatie kila kitu wakati wewe una uwezo wa kutumia hata kompyuta.
Uvivu na Kujitia utegemezi ni ugonjwa wa watanzania wengi wenye uwezo wa kufikiri na kujichukulia hatua madhubuti kujiendeleza kiuchumi.
Nikuulize greti thinka Wahindi unaowataja hata hapa bongo wake chama gani?
 
Ccm kuna makundi mawili kuna lenye masilai na lawajinga,so kila mmoja ata tambua yeye yupo wapi,na kijana yeyote anae ipenda ccm akizeeka lazima awe mchawi.
 
Alisikaka kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.

Wana akili za kushikiwa kama kibajaji
 
CCM ni chama cha amani,upendo,free from udini,ukabila na umajimbo,kina demokrasia,ni chama cha wakulima na wafanyakazi,changamoto pekee iliyopo ni kuwatimua wavamizi,haifai kuikimbia nyumba yako just bikoz imevamiwa na mchwa,kukimbia ni udhaifu changamoto iliyopo ni kusaidiana kuwatimua,tumuenzi Mwl Nyerere 'bila ya CCM imara nchi itayumba'.jukumu letu ni kuirudisha CCM imara ili kuinusuru nchi na myumbisho huu! Binadam wote ni ndugu zangu,Afrika ni moja,Fitna kwangu mwiko,idumu siasa ya ujamaa na kujitegemea.
 
Mtu anayeishabikia ccm akili yake inakuwa imechanganyikana na uchafu wa kwenye bwawa la mavi

Mtu wa aina hii aatakuwa ananuka kuanzia mwilini,kinywani hadi kutofua nguo za ndani.
Usiombe kuwa karibuni na mtu Kama Huyu mwenye dala dala asubuhi, anaharibu siku yako nzima.
Mr, Even over the net you stink!!
 
Mtu anayeishabikia ccm akili yake inakuwa imechanganyikana na uchafu wa kwenye bwawa la mavi
When a person talks like shit, thinks like shit, he also probably smells like shit, HE IS SHIT!!!
And he is from CDM
What a pity!!!
 
Back
Top Bottom