Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

anaakili za kifisadi
Anafanana na Ritz, nduka na wengine hawa hapa

images
 
Hapo kwenye kijani. Kuishi kimjini mjini ndo sera ya CCM na sisi watu makini hatutaki wizi. Kama ndo hivi CCM itazidi kukosa watu makini
siku zote!!!!! Masikini, unadhani watanzania wote wanaishi MJINI?????

Ndo hapo sasa tunawashagaa ninyi ambao mnashindwa kuishi kimjinimjini, hata huko vijijini mnatakiwa muishi kimjinimjini kuna nafasi wazi za mambo yetu yale ya kimjini!
 
Alisikaka kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.

ungemjibu ivi na anayeipenda chadema anakua na akili ya aina gani?
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure .

inamaana kikwete anaeenda kuomba misaada nje yeye ni cdm...halafu nikupe mfano unalima kama wale wa kule kusini wanamahindi mengi lakini hawaruhusiwi kuuza wanapotaka serikali inawalazimisha wauzie serikali kwa bei ya serikali ni akili hio mtu amenunua mbolea kalima kwa trekta kapanda kapalia kavuna sasa anataka kuuza arudishe pesa yake anakataliwa kwa mtutu wa bunduki wakati huo kuna beria kibao njiani ...ushuru wa mazao ushuru wa soko ushuru wa halmashauri lakini wakati wa kulima hakuona hata afisa tu wa kilimo
 
Labda kitu kimoja niweke wazi kuwa wale wengi waliokata tamaa mara nyingi huwa wanakuwa wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa. Kuna aina mbili ya kukata tamaa.

1. Wale wwasiofikiri nje ya boxi wanaohadaiwa na chama husika kupitia sera zenye maneno matamu na vijizawadi.
2. Wale wasiofikiria nje ya box wenye matumaini/mapenzi na viongozi fulani bila kujali kuwa hakuna vijizawadi. Huyu anategemea kuwa ampendae akitwaa madaraka yeye aliemchagua atatajirika na hali yake ya kiuchumi itakuwa na yule kiongozi yeye ataendelea kuwa masikini kwa mapenzi ya nchi na wananchi wake.

Kisha kuna wa aina ya tatu.

Hawa huwa hawana vyama na sio kwa kuwa hawana vyama basi hawapigi kura lah wanapiga kura wao wanaweza kumchagua diwani wa udp, mbunge wa cdm na raisi wa ppt maendeleo. Hawa ni aina ya watu ambao hawadanganyiki! kifupi wanaangalia manufaa ya taifa kwanza!

Sasa wewe mleta mada upo kundi gani? maana usije kuwa unamcheka kichaa wakati wewe ni crazy!
 
Ukiona yeyote hata humu Jf wanashabikia/wanatetea ccm usibishane nao!!
UJUE WANA AKILI ZA KI-MAITI!!
 
Wana akili timamu vingenevyo tungekuwa na watu wengi sana mtaani/vijijini wanaotembea bila nguo na pengine wagonjwa wamefurika milembe!!
 
Alisikaka kijana mmoja akisema kwenye daladala "Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?" Akaongezea. "Umeme umepanda, gharama za maisha nazo juu, Mfumuko wa bei, Fuel, Chakula......

Mjadala huu ulionesha wazi kuwa CCM hana mtetezi kwakuwa kila mtu alielezea chakwake.

Lakini ntukirudi nyuma ni lazima tukubali kuwa CCM must GO. Hawanajipya na chi hii ni ya wa Tanzania.
Hawana jipya. Maende na wasubiri kifungo na kunyongwa kwa kulidhurumu taifa kwa kuendelea kuwachekea mafisadi.
Mkuu Paul Kijoka,mimi ni muumini mzuri wa kushindana kwa hoja na huwa siogopi kutofautiana na mtu.
Sasa naomba nikuulize,hivi akija mtu hapa jamvini akauliza hivi 'hivi wanaojiunga na jamii forums wanakuwa na akili gani? utasikiaje Mkuu? just be honest na unijibu ukweli wa nafsi yako.
Kijoka , nobody likes to have his intelligence insulted.Hebu rudi nyuma ujiulize ,hivi kweli wewe Kijoka unaweza kusimama mbele ya ma die hard CCM members mfano calibre ya Mzee Kahama,Mzee Mark Bomani,Mzee Warioba,Mama Mongella,Mzee Kajembe,Mzee Mtopa n.k and then with a straight face ukatamka maneno haya? au kwa vile upo nyuma ya pazia la jf?
Please please Kijiko jf uwanja ni wako lakini cheza na hoja usicheze na kebehi.
Nawasilisha
Bishanga Abashaija.
by the way, zamani nilikuwa mchangiaji mzuri jukwaa la siasa, lakini kwa sababu za wachangiaji kama Ndugu Kijiko niliamua kuhama,karibu Kijiko kwenye uwanja wa mahusiano na mapenzi(mmu) uje tuserebuke!
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure bure

Pumbaf yani nyie ccm baada ya kula mali za umma mkavimbia ndio mmekuja kujamba ushuzi wenu hapa namna hii? .....Anyway kuepusha nisipigwe ban ngoja niishie hapa
 
Nahisi CCM imewaloga wa TZ na kuwapumbaza. kwakuwa kila mtu anashuhudia hali mbaya ya maisha na inatia kinyaa kuona wako masikini wanaolala njaa ila wanashangilia picha za chagua jk au wanafia mikutanoni!

The way the cookie crumbles...

Soma signature yangu....
 
Fanya kazi acha kupenda vya bure shauri yako
Naomba unitake radhi na uwambie hadharani wanaJF kuwa mimi sipendi vya bure na nimchapa kazi. Hii tabia ya kukurupuka imekuwa sera yenu CCM. Wewe mtu hunijui, unasoma article yangu unasema sifanyi kazi!!!!! Alafu Wale wanaofanya kazi kwa Taatifa yako ndo masikini vibaya na wanao sinzia bungeni au kwenye ofsi za kifisadi ndo posho ni zaidi ya laki 2 kwa siku!!!!

Huna IQ nzuri mkuu!!!!
 
Ila wakuu ni kweli great thinkers tunaichukia CCM kutokana na mabaya yake, ila ombi langu ni kuwa tunaisambaza elimu hii tunaipata humu kwa watanzania wenzetu walio gizani? Tukiweza kuwashawishi watu wengi wasio na access na social; networks kama hizi inakuwa ni njia nzuri, nakubali cdm imejitahidi kuamsha ari ya ukombozi lakini pia jukumu la kukomboa nchi yetu ni la kila mmoja. Mimi binafsi kila ninapokaa katika vijiwe naelimisha watu na imesaidia sana kwa watu wasiopita ktk mitandao kuwa updated. Jamani tuwaandae ndugu zetu kwamba 2015 tunachukua nchi.
 
Tuna bahati mbaya sana kura hazikutosha saa hizi tungekuwa tunajenga kwa sementi ya buku tano mfuko mmoja!

Sema kura ziliibiwa kwa kudai et wanatumia mtandao kutuma kura za rais wetu Dr. Slaa. Waliojiandikisha na waliopigakura unwakumbuka? Kuna nini hapo? CCM wajue haya yana mwisho na Mafisadi wote na wapambe wao watasimama mbele ya haki. Mungu atawahukumu wakiwa hapa hapa ardhini!!!!!
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure bure
Haswaa umenena mkuu.
Inabidi watu waamke , miaka ya vitu vya bure imekwisha kabisa na inaanza kutokomea katika kumbu kumbu za tulio wengi.

Utakuta mtu anazaa watoto sita hadi kumi, nyumba hana, shule hana wala kipato hana cha kutosha.K
ila kitu anategemea bure toka serikalini.
Kama ni afya na hospitali, masomo na shule.
Mtu huyu tayari amekuwa discarded from society maana watoto aliowazaa wamekuwa tegemezi toka kuzaliwa.
Walio mashambani mambo ni mabaya zaidi, na hapo ndio umoja katika maendeleo una maana katika jamii.
Umoja huo ukitumika kuondoa kero za binafsi mtu huna haja ya chama kukuondoa ufukara.
Kwa wale wanaotegemea chama fulani ndio kitawaletea mkate mezani bila kujibidiisha watasubiri mpaka kurudi kwa Messiah.
 
Hao ni wanafiki tu! Wanalalama nn kwani wakati wanapokea kanga za bure, kofia za bure, vilemba, T-shirt, chumvi, sukari n.k vyote vya bure. Acheni unafiki wa kujifanya mwaichukia CCM wakati ndo chama kilichoshika hatamu kwa kuchaguliwa na haohao wanaolalamika. Shut up...! Acha CCM iendelee mbele mpaka hapo watu watakapo pata awareness juu ya nn kifanyike. CCM OYEEEEE.....!
Mpaka leo sijielewi, hivi nkitoka CCM ntakula nini, ntaishi vipi? Naona upinzani wana maono mazuri lakini njaa yangu inanibakiza CCM. Huku kwetu ukiropoka tu, ka cheo tayari, sio ndo maisha bora hayo. Mtanisanehe bure.
 
Hao ni wanafiki tu! Wanalalama nn kwani wakati wanapokea kanga za bure, kofia za bure, vilemba, T-shirt, chumvi, sukari n.k vyote vya bure. Acheni unafiki wa kujifanya mwaichukia CCM wakati ndo chama kilichoshika hatamu kwa kuchaguliwa na haohao wanaolalamika. Shut up...! Acha CCM iendelee mbele mpaka hapo watu watakapo pata awareness juu ya nn kifanyike. CCM OYEEEEE.....!

nakuunga mkono kwa namna moja na nakupinga kwa upande mwingine. Huko kwetu kuna jamaa mke wake alipotea muda mfupi baada ya kufariki dunia akiwa hsptl. Akaenda kwa mganga akampa dawa na kumwelekeza alipokuwa amewekwa yule tayari kutumiwa na mtu mmoja kama Msukule. Yule mwanaume akumfanya msukule kwani alikuwa mzuri sana ila alimbadilisha akili na hakuweza kuwa kama binadamu wa kawaida ingawaje alikuwa na kila aina ya utashi wa binadamu kwa mwonekano.

Mumewe alipoleta dawa ile alikuta yule jamaa anamtumia kimwili!!! Mke alipomuona Mumewe alikataa kata kata kwani alikuwa hana utambuzi tena. Alikuwa kafugwa ka Mbwa. Si rahisi kumchukua ,mbwa wa masikini kwa kumpa nyama. Atakula na atarudi kwake.

Watz waliowengi ni kama mifugo, ni kama yule mama na wakombozi ni kama yule baba. Mfugaji wa Misukule ni kama CCM!!!!

La kufanya ni kuwakomboa kwa nguvu ya UMMA uliokwisha kombolewa. Huduma za jamii na kila aina ya ubaya wa CCM tunashare nao ingawaje wao hawaoni!!!!

Angalia hili la kufell watoto wao shule za kata still wanaamini CCM na kuwapelekea watoto wengine wapate zero pia>>>>>
 
ungemjibu ivi na anayeipenda chadema anakua na akili ya aina gani?
Tabia ya kudakia hii inatuonesha jinsi ulivyouliza swali wewe hukuwa makini! Chadema iliwahi kuunda serikali lini? Tuambie mkuu?! Watanzania kwa kupenda au kulazimishwa wanahitaji uongozi mbadala. Iwe chadema au ccj au mashine au chochote ila usiwe huu UKIMWI/UKOMA CCM ambao baadala ya kuendeleza limekuwa genge la majizi.
 
Umaskini wako usisingizie CCM , jilaumu ww mwenyewe kwa kutofanya kazi za bidii na maarifa. Wengi wanao lalamika hivyo ni wale wanaopenda vitu vya bure .

inamaana kikwete anaeenda kuomba misaada nje yeye ni cdm...halafu nikupe mfano unalima kama wale wa kule kusini wanamahindi mengi lakini hawaruhusiwi kuuza wanapotaka serikali inawalazimisha wauzie serikali kwa bei ya serikali ni akili hio mtu amenunua mbolea kalima kwa trekta kapanda kapalia kavuna sasa anataka kuuza arudishe pesa yake anakataliwa kwa mtutu wa bunduki wakati huo kuna beria kibao njiani ...ushuru wa mazao ushuru wa soko ushuru wa halmashauri lakini wakati wa kulima hakuona hata afisa tu wa kilimo

Hiki ndo kilio cha waTZ zaidi ya 80%. Si kusini tu, ni nchi nzima. CCM na mtabdao wake wanaiba:
  1. mazo yetu
  2. madini yetu
  3. pesa zetu
  4. ardhi yetu hasa mijini
  5. kodi zetu
  6. wanyama wetu
  7. wake zetu
  8. majumba yetu
  9. kura zetu
  10. demokrasia yetu
  11. utaifa wetu
  12. katiba yetu sheria zetu zinapindishwa
  13. ............... Nasikia uchungu kana kwamba najifungua vile!
Mungu yupo.
Sasa wanapandisha mafuta ya taa, dezel, na petrol kisa wanamiliki Ma Oil...... com na EWURA pia.....
 
Back
Top Bottom