Hivi mtu anaweza kukosa kuitwa kwenye interview kwa sababu ya kutocertify vyeti,,,??

MR.LEO

Senior Member
Jun 10, 2012
129
24
Jamani naomba mnipe ushauri:
Toka nimeanza kutuma maombi ya kazi katika taasisi mbalimbali za ummma na binafsi sijaitwa interview hata moja.
Nilipoongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza kama huwa nacertify copy za vyeti vyangu au lah!
Nikamjibu sijawaì kufanya hivyo,ndipo akaniambia hiyo inaweza ikawa sababu.
SASA WADAU ZILE NAFASI 2000 ZA utumishi niliomba bila kucertify,ina maana nazo sitaitwa kwenye interview,,,??
Msaada jaman,,,!
 
Tafuta ushauri vitu gani vinatakiwa kwenye "CV" na nini havitakiwi. Mfano kutaja kabila lako, kutaja jinsia yako, kutaja dini yako hivyo vyote havitakiwi. Zaidi sana kuna "cover letter" sijui kama unakumbuka kuweka nayo ni muhimu kuelezea uwezo wako kwenye hiyo kazi unayoomba
 
sio waajri wote wanataka ucertify vyeti vyako check out cvs yako inawezekana haijiuzi vizuri ndo maana watu hawashawishiki
 
Jamani naomba mnipe ushauri:
Toka nimeanza kutuma maombi ya kazi katika taasisi mbalimbali za ummma na binafsi sijaitwa interview hata moja.
Nilipoongea na rafiki yangu mmoja akaniuliza kama huwa nacertify copy za vyeti vyangu au lah!
Nikamjibu sijawaì kufanya hivyo,ndipo akaniambia hiyo inaweza ikawa sababu.
SASA WADAU ZILE NAFASI 2000 ZA utumishi niliomba bila kucertify,ina maana nazo sitaitwa kwenye interview,,,??
Msaada jaman,,,!

Not True. Hapa ninapofanya kazi mimi, leo ndio nakamilisha mwezi wa tatu, na Jumatatu ndio nimewaletea copy sio original za vyeti vyangu.

Kuwa variety ya practice maeneo tofauti tofauti lakini at an interview stage hiyo requirement itakuwa very political.
 
hawa watu wa ajira na ssra akili zao zipo visiginoni. E.g

Certified copy. Stupidity
Pitishia barua kwa mwajiri wako wa sasa. None sense
 
.......SASA WADAU ZILE NAFASI 2000 ZA utumishi niliomba bila kucertify,ina maana nazo sitaitwa kwenye interview,,,??
Msaada jaman,,,!

Ndiyo. Hautaitwa katika usaili kwa kuwa hutimiza moja ya vigezo.

Tafuta ushauri vitu gani vinatakiwa kwenye "CV" na nini havitakiwi. Mfano kutaja kabila lako, kutaja jinsia yako, kutaja dini yako hivyo vyote havitakiwi. Zaidi sana kuna "cover letter" sijui kama unakumbuka kuweka nayo ni muhimu kuelezea uwezo wako kwenye hiyo kazi unayoomba

mkuu hapo kwenye red siku hizi hawaweki? duh maendeleo kidogo nakumbuka zamani watu wanaweka mpka kabila duh taratibu watu watabadilika yaani pande za huku nimefurahia sana utaratibu wao ni kitu jina na address tu, age, gender, na mengine yote haitakiwi maana inaonyesha ubaguzi mkubwa,
 
kama tangazo linataka certified, jibu ni Ndio. Hautaitwa kwenye usaili kwa kufeli kigezo cha UWEZO WA KUFUATA MAELEKEZO
 
Inategemea kuna tangazo kati ya yale HAYAKUANDIKA MAMBO YA KUSETIFAI

na hata wakiandika haimanish hutaitwa mfano huwa wanaandika TRANSCRIPT IS NT ALLOWED bt stil wengne hupeleka na wakaitwa na kazi wakapatiwa.
 
Back
Top Bottom