Hivi mtihani wa darasa la saba ndiyo umefutwa?

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
Wadau nisaidieni kwa kuweka mtihani mwingine baada ya watoto kufaulu na kupangiwa shule ili kuendelea na masoma ya sekondari ni kufuta mtihani wa taifa? Mbona sielewe tunaenda wapi? Kwenye mfumo wa elimu yetu itafika mahali mitihani ya NECTA inafutwa na wanafunzi watakuwa wanafanyiwa interview tu kama wanavyotaka kufanya baada ya matokeo kupangwa.Inasikitisha sana serikali inatumia pesa nyingi kuandaa na kusahihisha mtihani ili hali wakijua si njia sahihi ya kupima watoto na wanajitokeza kusema eti watoto wamefaulu wakati hawawezi kusoma na kuandika.dahaaaaaaaa!!!!!!!!!!
 
Hizi si simptomz bali ni evidensi zinazo-pruv biyond rizonabo dauti kuwa nchi haitawaliki kwani watawala hawajui la kufanya, mambo yako hivi kwa tishio tu la kuandamana, je tukiandana! tupo katikati ya mkondo wa nungwi naona nahodha anajitosa baharini na godoro, haiamini tena meli spice islander. aibu yetu aibu yao?!
 
Back
Top Bottom