Hivi mtanzania anafaidika nini na uwekezaji huu?

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Wageni mbalimbali wakiwemo mabalozi pamoja na wawekezaji wakiwasili katika uwanja wa ndege wa mpanda.
 

Attachments

  • mpandawere.jpg
    mpandawere.jpg
    12.9 KB · Views: 136
  • 4mopanda.jpg
    4mopanda.jpg
    10.8 KB · Views: 120
tunafaidi kama vile kunyakuliwa kwa ardhi yetu.....kubaki na mashimo ya migodi......uharibifu wa mazingira......kuambulia vijisenti......bila kusahau kifo cha magamba 2015.
 
Natumaini mkutano ukiisha inabidi wawekezaji waondoke na ndege zao!! Maana <Mpanda hakuna sehemu ya kuwalaza!!
 
Tuna safari ndefu sana kujielewa. I mean kuelewa kama Tz ina utajiri wa kila aina na hawa wanaokuja kwa mgongo wa uwekezaji ni kujichukulia huo utajiri na kupeleka kwao kwa kuwa hatuelewi potential hiyo.
 
Back
Top Bottom