Hivi msajiri wa vyama vya siasa Anateuliwa au anachaguliwa?

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Wadau napenda kufahamu msajiri wa vyama vya siasa nchini anapatikanaje naona utendahi wake unanitia mashaka kama wa PM wetu. Ni kama roboti linalokwenda kwa remote toka magogoni.
 
Wadau
napenda kufahamu msajiri wa vyama vya siasa nchini anapatikanaje naona
utendahi wake unanitia mashaka kama wa PM wetu. Ni kama roboti
linalokwenda kwa remote toka magogoni.


Anateuliwa na Rais. Hawezi kuondolewa kirahisi. Ana 'security of tenure' kama majaji.
 
Kumbe ndo maana anamkingia kifua boss wake akiye uchi
 
Back
Top Bottom