Hivi mpenzi wako anapokuambia hana hisia na wewe tena, anakua ana maana gani hasa?

kibheri

Senior Member
May 18, 2014
105
38
Assume ni mpenzi ambae mmedumu katka uhusiano kwa takribani miaka mitano,lakin cha kustaajabisha from no where anaamua tu kukutamkia maneno hayo kuwa hana hisia na wewe tena,ukimuuliza kama kapata mtu mwingne anasema hana na ukimchunguza kama ana mtu unagundua kweli hana mtu.tatizo huwa ni nini na nini kifanyike ili kumrudisha katika hali yake ya kawaida,kwa maana anang'ang'ania tu kuwa marafiki wa kawaida ukimuulza sababu hana sababu ya maana ya kueleweka?ebu tusaidiane kwa ushauri na mawazo ili tuokoe huu uhusiano jamani..
 
anamaanisha hana hisia za mapenzi tena juu yako,labda kuna tabia zisizompendeza ambazo amekuwa akikusihi uache ili kuunusuru uhusiano wenu lakini unazikomalia na kwa hiyo ameongea sna mwishowe amkuwa sugu na hakupendi tena pole mkuu.
 
ok,kwa hiyo nini kifanyike sasa mkuu ili kumuweka sawa?
 
Assume ni mpenzi ambae mmedumu katka uhusiano kwa takribani miaka mitano,lakin cha kustaajabisha from no where anaamua tu kukutamkia maneno hayo kuwa hana hisia na wewe tena,ukimuuliza kama kapata mtu mwingne anasema hana na ukimchunguza kama ana mtu unagundua kweli hana mtu.tatizo huwa ni nini na nini kifanyike ili kumrudisha katika hali yake ya kawaida,kwa maana anang'ang'ania tu kuwa marafiki wa kawaida ukimuulza sababu hana sababu ya maana ya kueleweka?ebu tusaidiane kwa ushauri na mawazo ili tuokoe huu uhusiano jamani..

On the other hand, counterfeit love exists when one person does all the giving and,is like chasing the pot of gold at the end of the rainbow it's never attainable.
 
Assume ni mpenzi ambae mmedumu katka uhusiano kwa takribani miaka mitano,lakin cha kustaajabisha from no where anaamua tu kukutamkia maneno hayo kuwa hana hisia na wewe tena,ukimuuliza kama kapata mtu mwingne anasema hana na ukimchunguza kama ana mtu unagundua kweli hana mtu.tatizo huwa ni nini na nini kifanyike ili kumrudisha katika hali yake ya kawaida,kwa maana anang'ang'ania tu kuwa marafiki wa kawaida ukimuulza sababu hana sababu ya maana ya kueleweka?ebu tusaidiane kwa ushauri na mawazo ili tuokoe huu uhusiano jamani..

Anakuambia kwa njia ya kistaarafu - anza mbele. Roho itauma lakini huna jinsi. Mwambie sawa na mtakie maisha mema mbele ya safari.

Lakini akifanya kosa kutaka kurudi baada ya muda fulani, mfanyie ile habari ya Osokoni.
 
  1. kwanza wewe ni mwanaume au mwanamke?
  2. ni mkeo/mumeo au ni mpenzi tu? Kama ni mpenzi tu miaka mitano unafanya nini?
  3. ameona hakuna future
 
mimi chance kama hizo hua nazisubiri mno aniambie hivo ili niende kwingine,.....
mtu ushachokwa, unataka ulazimishe mapenzi, hata ukiokoa huo uhusiano jiandae kwa matatizo siku za mbele...
usiwe tahira, kabla hujamjua ulikua unaishi vzr tu, tafuta ambako mtaendana, ka hujajua ipo siku utakutana na mwenzako mwenye tabia sawa na wewe, huyo ndo mkishikana mtaelewana vzr... p
 
Ilishatokea ht kwangu pia demu akanipa hizo habari...hapo hata ufanyeje haezi rudi sana utakua unalazimisha..cha msingi kusanya vilivyo vyako na kusonga mbele..karbu kundini.

ok,nishakaribia mkuu,lakini sasa anang'ang'ania tuwe marafki wa kawaida,nimemwambia sitaki hata urafiki na yeye akaanza kulia,pia juzi kati nilimwambia kuwa nishapata demu mwingne akawa anataka kulia tena..sasa hapo ndo nashndwa kumsoma tena,kuwa anapima kina cha maji au ni vipi!
 
Soma alama za nyakati mkuu..huyo akienda mbali na ww huna chako..hapo anakua hvyo simply because mpo karbu...nimemaliza!
 
mimi chance kama hizo hua nazisubiri mno aniambie hivo ili niende kwingine,.....
mtu ushachokwa, unataka ulazimishe mapenzi, hata ukiokoa huo uhusiano jiandae kwa matatizo siku za mbele...
usiwe tahira, kabla hujamjua ulikua unaishi vzr tu, tafuta ambako mtaendana, ka hujajua ipo siku utakutana na mwenzako mwenye tabia sawa na wewe, huyo ndo mkishikana mtaelewana vzr... p

sio utaahira mkuu,chemistry ya mapenzi ni ngumu sana kuicalculate,unaweza ukadhani jibu ni hvi kumbe sio..
 
anza kumtreat like kile kipindi unamtongoza., acha vitabia vyako vya ajabu asivyovipenda,work hard f shule piga sana aone future. ect
 
Back
Top Bottom