Hivi mnatuongozaje?

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Watanzania tunayashuhudia haya yakitokea kila kukicha. Nakumbuka maneno ya Mwalimu yaliyosema "Yawezekana sisi ni wajinga hatuwezi kuongoza lakini hata kuuliza hivi jamani mnatuongozaje?"

Leo tuna madaktari waliorudishwa kazini na mahakama. Tuna waalimu waliorudishwa kazini na mahakama. Kesho sijui mahakama itawarudishwa nani kazini labda wote tutakapoanza mgomo kupinga sheria mpya ya Mifuko ya hifadhi ya jamii.

Nashangaa kwa nini migodi haijaenda mahakamani kuzuia mgomo unaoendelea.

Yote haya yanatufanya tujiulize "Hivi mnatuongozaje?
 
Watanzania tunayashuhudia haya yakitokea kila kukicha. Nakumbuka maneno ya Mwalimu yaliyosema "Yawezekana wajinga hatuwezi kuongoza lakini hata kuuliza hivi jamani mnatuongozaje?" Leo tuna madaktari waliorudishwa kazini na mahakama. Tuna waalimu waliorudishwa kazini na mahakama. Kesho sijui mahakama itawarudishwa nani kazini labda wote tutakapoanza mgomo kupinga sheria mpya ya Mifuko ya hifadhi ya jamii. Nashangaa kwa nini migodi haijaenda mahakamani kuzuia mgomo unaoendelea.

Yote haya yanatufanya tujiulize "Hivi mnatuongozaje?
We Mkoritho tulia acha kupayuka
 
Watanzania tunayashuhudia haya yakitokea kila kukicha. Nakumbuka maneno ya Mwalimu yaliyosema "Yawezekana wajinga hatuwezi kuongoza lakini hata kuuliza hivi jamani mnatuongozaje?"

Leo tuna madaktari waliorudishwa kazini na mahakama. Tuna waalimu waliorudishwa kazini na mahakama. Kesho sijui mahakama itawarudishwa nani kazini labda wote tutakapoanza mgomo kupinga sheria mpya ya Mifuko ya hifadhi ya jamii.

Nashangaa kwa nini migodi haijaenda mahakamani kuzuia mgomo unaoendelea.

Yote haya yanatufanya tujiulize "Hivi mnatuongozaje?

Kwani kazi ya mahakama ni nini , ulifikiri hakuna sheria ya kumbana mfanyakazi? Mahakamani anasimama mtu yeyote mwizi, jambazi, mwalimu, Polisi, Waziri ili mradi tu umevunja sheria.
 
Ndo tatizo la kua na rais ambae alichaguliwa na kura za kuchakachuliwa na sio kura halisi za wananchi ni kama anatunyanyasa kwa kua watanzania hawakumchaguaga so anatulipizia kisasi
 
Back
Top Bottom