Hivi mnaonaje wakina dada wanaujiuza walipe kodi na biashara yao serikali isajili kama ulaya

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......
 
mmh namtamani kweli Bazazi aje hapa.......................my sweet bro nimekumis sana best come this way and put touch your keyboard please.
 
Last edited by a moderator:
yap walipe bwana..badala ya kutegemea sigara tunaweza kutegemea na hii kitu

Lol, jamani tumemaliza kabisa vyanzo vyetu vya mapato mpaka tufike mahali pa kutegemea "hii kitu" iwe chanzo cha mapato? Wao wanafanya hivyo kwa kuwa hawana means, je na sisi tumeishiwa means?
 
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......

Unaonaje akina kaka poa nao wapigwe miti na walipe kodi ya serikali kama ulaya?Unaonaje tukiunga mkono uamuzi wa marekani na uingereza kuruhusu ndoa za jinsia 1?
 
Hizo laana wajekubeba watoto wetu au? Maana hiyo kitu imelaananiwa tangia enzi hizo.
 
Lol, jamani tumemaliza kabisa vyanzo vyetu vya mapato mpaka tufike mahali pa kutegemea "hii kitu" iwe chanzo cha mapato? Wao wanafanya hivyo kwa kuwa hawana means, je na sisi tumeishiwa means?
Serikali dhaifu imekosa ubunifu wa vyanzo vya mapato na hivyo kuishiwa means.
 
kamwambie dada yako,mama yako na mtoto wako wa kike akajiuze jibu atakalokupa ndio uje uchangie rasilimali zote tulizonazo na kodi tunazoshindwa kukusanya ndio zinakufanya uwe na mawazo finyu namna hiyo
 
Wafanyakazi wote hulipa PAYE (Pay As You Earn). Wafanyabiashara hulipa Kodi tofauti tofauti.
  • Nini maana ya kodi? Bahati mbaya sina kamusi kujua maana ya kodi
  • Ni biashara gani ya muda mrefu zaidi duniani ambayo imezishinda ustaarabu na sheria dhidi yake.
  • Je wahatumii huduma za kijamii kwa ajili ya maisha yao? Je wanapoungua mfano SIDA nani analipia gharama za tiba yake ilhali tiba ya AIDS ni bure?
  • Je hawapati kipato cha kutosha katika mihanjo yao ya mchana na ucku?
  • Kwanini wasilipe kodi?
Bazazi! anasema biashara zote lazima zitozwe kodi ilmradi haziathiri jamii nzima kwa ujumla wake (mfano biashara ya mihadharati). Mtu anajiuza kwa starehe na tabu zake, Kwanini sisi tujali zaidi ya kumdai kodi Bana! To hell with your taboo! Hapa ni uchumi kwanza.

Yes Ndimi Bazazi!
 
Lol, jamani tumemaliza kabisa vyanzo vyetu vya mapato mpaka tufike mahali pa kutegemea "hii kitu" iwe chanzo cha mapato? Wao wanafanya hivyo kwa kuwa hawana means, je na sisi tumeishiwa means?
seems kila maeneo mengi hapa daslam pombe inaponyweka sana huwa na HIZI HUDUMA ni nyingi...kama pombe wanakata kodi kwa nini na hawa wasiwakate kodi??? au kama wanashindwa wapandishe bei condom
 
Hii biashara mi naona kama isajiliwe na wakina dada wanaojiuza walipe kodi kama nchi nyingine kama
ulaya kwani mimi ninaona inaingiza sana pato la taifa......

KANUNI YA ADHABU SURA YA 16 inakataza kwa mtu yeyote anayeishi kwa mapato ya umalaya ni kosa la jinai, na pia mtu yoyote ambaye anamiliki madanguro(brothels) ni kosa la jinai ,
 
Wafanyakazi wote hulipa PAYE (Pay As You Earn). Wafanyabiashara hulipa Kodi tofauti tofauti.
  • Nini maana ya kodi? Bahati mbaya sina kamusi kujua maana ya kodi
  • Ni biashara gani ya muda mrefu zaidi duniani ambayo imezishinda ustaarabu na sheria dhidi yake.
  • Je wahatumii huduma za kijamii kwa ajili ya maisha yao? Je wanapoungua mfano SIDA nani analipia gharama za tiba yake ilhali tiba ya AIDS ni bure?
  • Je hawapati kipato cha kutosha katika mihanjo yao ya mchana na ucku?
  • Kwanini wasilipe kodi?
Bazazi! anasema biashara zote lazima zitozwe kodi ilmradi haziathiri jamii nzima kwa ujumla wake (mfano biashara ya mihadharati). Mtu anajiuza kwa starehe na tabu zake, Kwanini sisi tujali zaidi ya kumdai kodi Bana! To hell with your taboo! Hapa ni uchumi kwanza.

Yes Ndimi Bazazi!

Una kichaa wewe
 
Back
Top Bottom