Hivi mnajua au hamjui bado.

Hapana kaka si ukali banaaa.
Niko honest tu na kile ninachoamini na ninachopenda. Na siwezi kuexclude vigezo vyote, sbb vigezo lazima viwepo.
Wewe yoyote anaekujia mradi umemwangalia utampendaa?
Tupo pamoja kaka. Wewe ni MWEUPEEEEE (Just a joke man)
Nimekuelewa. Hata ningekua mweupe, hapa umesha nivunja nguvu
Na sisi wenye sauti kama za mama zetu ndio basi tena. lol
 
mkuu fazaa!umeongea jambo la ukweli kabisa!ndio maana wanawake wanakazana ktk urembo na kujiremba for men to see and admire them!na ndio maana wanaume tunakazana ktk maneno matamuuu kurahisisha zoezi!
 
hiyo nimekutolea mfano tu. Wapo wagumu bwana, utapigisha sound hadi unazeeka na hupati kitu.

Wewe Husn acha kujibaraguza , huyo mwanamke m'bishi aloshindikana na sound za wa Vyambegu akafa na Seal yake yuwapi ?
Fazaa anamwaga sera ziko wazi , openly wala hamung'unyi alaaa !
Yaani kagonga kunako !
 
sound tunapigishwa ila tunawapima viwango kwanza, tunapokubali ni kwamba viwango vimetick na sio kwamba umepiga sound vizuri.
 
sound tunapigishwa ila tunawapima viwango kwanza, tunapokubali ni kwamba viwango vimetick na sio kwamba umepiga sound vizuri.

hii ingekuwa kweli baadhi ya wanawake wasingekuwa wanaingizwa mkenge na kubaki wanalalamika kama tunavyoshudia these days
 
Nimekuelewa. Hata ningekua mweupe, hapa umesha nivunja nguvu
Na sisi wenye sauti kama za mama zetu ndio basi tena. lol

Usijali saana Mkuu, ni vijimambo tu, wapo wanaopenda type hizo. Na nina uhakika unaye aliyependa hivyo ulivyo Taz
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Fazaa mbona sasa mimi Avatar yako imenivutia kuliko hata hayo maneno yako?
AshaDii; Do you want to date my avatar, sasa unaonaje tuzikutanishe avtar yako na yangu uone farasi atakavyo kubeba juu juu :biggrin:
 
AshaDii; Do you want to date my avatar, sasa unaonaje tuzikutanishe avtar yako na yangu uone farasi atakavyo kubeba juu juu :biggrin:

Did i mention anything in the line of dating? lol enways if interested my avatar could be your avatar's date....:nerd:
 
Did i mention anything in the line of dating? lol enways if interested my avatar could be your avatar's date....:nerd:
No...but, I was wondering why do you love my avatar kuliko maneno yangu, nilidhani wewe ni sanamu pia kama vile avatar yangu husiki, kumbe unasikia enheee....Super nilidhani kiziwi huta yajali maneno yangu, mana kama umeyapenda maneno yangu ndo lazima uyajali.
 
Correction! I do not love your avatar..... ila inanivutia kuliko maneno yako.

WHY?? Avatar yako imewekilishwa na art, imechora farasi na abiria wake katika mazingira ambayo katika hali ya kawaida hunivutia... ina rangi zilizotumika zilizopoa kuashiria kua portrait imekua depicted eneo la ukame, the colors ndizo maarufu kwa painters za sehem za ukame kama Sudan, Ethiopia na maeneo ya Sahara. Yawezekana nimekosea ila ndio yanikumbusha huko.

Maneno hayajanivutia sababu as much as ni metaphor ni kweli.... na hilo hutu cost saana wanawake... now, who wants to remember kile ambacho humpa udhaifu?

Hivo narudia.... Avatar yako imenivutia....:A S-coffee:
 
Correction! I do not love your avatar..... ila inanivutia kuliko maneno yako.
Si unajua wachoraji mara nyingi wanapenda avatar sikulaumu aisay, inaonyesha wewe ulisha danganywa sana mpaa hutaki tena kutusikiliza :biggrin:
 
Back
Top Bottom