Hivi mnajua au hamjui bado.

Fazaa, wanasema wanaume wanakua EXCITED zaidi kwa kupitia wanacho kiona, na wanawake ni zaidi kwa kupitia wanacho kisikia. Sio kupenda. Kama alivo sema Husninyo kupenda ni roho.
Super;This is a very good explanation ulicho ongea,lakini usisahau wengine huwa wanasema wamependa unavyo ongea mana wanaume wengine tukiongea utasema tunamimina asali inabidi walambe tu.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
na excitement ni ingredient muhimu kwenye falling in love, hivi unajua excitement ndio inayoleta ublind na sio love kama wengi tunavyojidanganya?
Kweli kabisa... na wengi tunadhani hiyo excitment ndio love yenyewe
But all in all itachukua additional efforts to make her/him fall in love.
Vingine tunajikuta tukidhani she is in love. wakati excitment inaisha,
tunashangaa, mbona we were in love,where did it go? kumbe it was something else.
So mwanamke anaweza kupenda unacho mwambia, na akawa very excited about it
but it doesn't mean she is in love. na mwanaume anapenda anachoona, but he's not in love
 
Super;This is a very good explanation ulicho ongea,lakini usisahau wengine huwa wanasema wamependa unavyo ongea mana wanaume wengine tukiongea utasema tunamimina asali inabidi walambe tu.
Good for you mkuu, good for you.
 
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.

Kama hujanivutia hata uje na sound brand new from Japan siwezi kukukubali au kukupenda. Hadi moyo wangu upende.

Ni mimi kama mimi, my ears cant buy your words ili nikupende.
 
hawajui kwahiyo ni lazma wabishe. Ngoja nianze kufikiria udhaifu wangu.
Shem! kuna udhaifu individually (wa kitabia na kadhalika) , kuna udhaifu generally (wa kibinadamu) na kuna udhaifu based on gender (jinsia). Usijipekue kutafuta udhaifu wa kijinsia , it was there, it is there and it will always be there may be utafute how to sacrifice against it (nimetumia neno sacrifice kwa sababu kunahitaji effort ya ziada kuweza kucope nao)
 
Kama hujanivutia hata uje na sound brand new from Japan siwezi kukukubali au kukupenda. Hadi moyo wangu upende.

Ni mimi kama mimi, my ears cant buy your words ili nikupende.
Swali nzima liko hapo... unavutiwa na nini? Sauti au muonekano?
 
Kweli kabisa... na wengi tunadhani hiyo excitment ndio love yenyewe
But all in all itachukua additional efforts to make her/him fall in love.
Vingine tunajikuta tukidhani she is in love. wakati excitment inaisha,
tunashangaa, mbona we were in love,where did it go? kumbe it was something else.
So mwanamke anaweza kupenda unacho mwambia, na akawa very excited about it
but it doesn't mean she is in love. na mwanaume anapenda anachoona, but he's not in love
Hapo sasa kamanda tuko pamoja lakini still sijaona kosa la fazaa kusema mwanamke anapenda through her ears, kwani kwa mantiki yako ina maana wanawake wanaget excited kupitia wanachosikia na then ndio baadhi yao wanaevaluate na kuchukua uamuzi.
Complicated!
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Shem! kuna udhaifu individually (wa kitabia na kadhalika) , kuna udhaifu generally (wa kibinadamu) na kuna udhaifu based on gender (jinsia). Usijipekue kutafuta udhaifu wa kijinsia , it was there, it is there and it will always be there may be utafute how to sacrifice against it (nimetumia neno sacrifice kwa sababu kunahitaji effort ya ziada kuweza kucope nao)

shem mwanafunzi nahitaji kufundishwa kwa mifano ili nielewe zaidi. Sante.
 
Hapo sasa kamanda tuko pamoja lakini still sijaona kosa la fazaa kusema mwanamke anapenda through her ears, kwani kwa mantiki yako ina maana wanawake wanaget excited kupitia wanachosikia na then ndio baadhi yao wanaevaluate na kuchukua uamuzi.
Complicated!
Ukifikia kusema it is complicated then umemaliza equation
because women are complicated, so we are heading in the right direction.
Hapo in bold, that is exactelly what I meant. Muulize Husninyo.
 
shem mwanafunzi nahitaji kufundishwa kwa mifano ili nielewe zaidi. Sante.
Acha nikupe mfano kupitia msemo wa Fellow tablet aspirin "mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja", huu ni udhaifu wa jinsia ya kiume na una ukweli 100% na ukiona mwanaume ametosheka na mwanamke mmoja basi ujue anasacrifice na anahitaji kupongezwa sana .
Nadhani mifano ya udhaifu wa general na individual hauhusiani sana na mada na nakusudia kufupisha hii post
 
Ukifikia kusema it is complicated then umemaliza equation
because women are complicated, so we are heading in the right direction.
Hapo in bold, that is exactelly what I meant. Muulize Husninyo.
Women are indeed complicated hiyo haina ubishi, nakumbuka mdingi aliwahi kuniambia "kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue ndio umemuelewa"

Hapo red najua ndio ulivomaanisha lakini beleive u me hata fazaa kila nikimsoma naona anaongelea kile kile unachomaanisha wewe. Correct me kama niko wrong
 
Acha nikupe mfano kupitia msemo wa Fellow tablet aspirin "mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja", huu ni udhaifu wa jinsia ya kiume na una ukweli 100% na ukiona mwanaume ametosheka na mwanamke mmoja basi ujue anasacrifice na anahitaji kupongezwa sana .
Nadhani mifano ya udhaifu wa general na individual hauhusiani sana na mada na nakusudia kufupisha hii post

sacrifice sio kwenye mapenzi tu kloro. Haya niambie mwanaume ameumbwa ili awe na wanawake wangapi? Kama unapata unachokitaka kutoka kwangu kuna sababu ya kutafuta wanawake wengine?
 
Women are indeed complicated hiyo haina ubishi, nakumbuka mdingi aliwahi kuniambia "kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue ndio umemuelewa"

Hapo red najua ndio ulivomaanisha lakini beleive u me hata fazaa kila nikimsoma naona anaongelea kile kile unachomaanisha wewe. Correct me kama niko wrong
Mdingi wako is such a wise man! Ukimwona mwambie busara yake imenifikia hapa nilipo na nimeikubali.
Mimi na Fazaa hatujasema vitu tofauti, I think nimepeleka tu reasoning mbali kidogo
Mimi nimesema they get excited, yeye kasema they fall in love.
Getting excited ndio mwanzo wa ku-fall in love. Ila sio love yenyewe (thank you klorokwini for filling this gap)
 
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.

hii nayo kali yani mtu umsikie sauti tu bila kumuona? sijuwi hao wanawake wengine mie kama sijamuona ntampenda kama binadamu mwenzangu sio kama mpenzi wangu he! kwa sauti si unaweza ukapenda jini:lol:
 
Women are indeed complicated hiyo haina ubishi, nakumbuka mdingi aliwahi kuniambia "kila ukiona humuelewi mwanamke basi ujue ndio umemuelewa"

Hapo red najua ndio ulivomaanisha lakini beleive u me hata fazaa kila nikimsoma naona anaongelea kile kile unachomaanisha wewe. Correct me kama niko wrong

labda sababu wanawake wengi hawapo wawazi na ndio maana ni ngumu kuwaelewa. Hayo ya kucomplicate na alichosema fazaa kinahusiana?
 
sacrifice sio kwenye mapenzi tu kloro. Haya niambie mwanaume ameumbwa ili awe na wanawake wangapi? Kama unapata unachokitaka kutoka kwangu kuna sababu ya kutafuta wanawake wengine?
Sexual demand ya mwanaume ni kubwa sana shem ukilinganisha na ya mwanamke ongezea na factors nyengine za kipindi cha ujauzito, likizo ya mwezi, uchovu wa mwili wa mwanamke, natural mood swing ya mwanamke etc. etc.
Ni human nature kabisa.
 
labda sababu wanawake wengi hawapo wawazi na ndio maana ni ngumu kuwaelewa. Hayo ya kucomplicate na alichosema fazaa kinahusiana?
Asante sana shem! Hilo ndio janga la taifa kwa wengi wa wanawake. Kuna mwanamke apa niliwahi kumsifu kwa kuwa muwazi, she is one in a million (jina kapuni lakini ashajielewa)
 
Sexual demand ya mwanaume ni kubwa sana shem ukilinganisha na ya mwanamke ongezea na factors nyengine za kipindi cha ujauzito, likizo ya mwezi, uchovu wa mwili wa mwanamke, natural mood swing ya mwanamke etc. etc.
Ni human nature kabisa.

kwahiyo mnachokifata kwa wanawake wa pembeni ni sex tu. Right?
 
Mdingi wako is such a wise man! Ukimwona mwambie busara yake imenifikia hapa nilipo na nimeikubali.
Mimi na Fazaa hatujasema vitu tofauti, I think nimepeleka tu reasoning mbali kidogo
Mimi nimesema they get excited, yeye kasema they fall in love.
Getting excited ndio mwanzo wa ku-fall in love. Ila sio love yenyewe (thank you klorokwini for filling this gap)
Pamoja sana kamanda, nimekupata.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Back
Top Bottom