Hivi mnajivunia kuwa watanzania au mnavumilia kuwa watanzania?

Hapa ni uvumilivu ingawa tunaelekea kuishiwa nguvu hakuna anayejivunia utz zaidi ya watawala na familia zao
 
Tanzania nchi yangu sio mbaya hata kidogo!na ninaipenda sana ila hawa makabachori ishhhhh wanatuumiza sana mwe!
 
natamani mafisadi wafe mmojammoja, this country is soooooo beautiful, ila kuna haoooooooo! lol! nasikia hasira hata kuwafikiria
 
najivunia sana kuwa Mtanzania.....pumbaf chache haziwezi kunifanya nijute.....nitazishughulikia 2015......
 
Mimi navumilia, tena kwa uchungu sana kuwa mtanzania kwa sababu nchi hii imekaa kama vile inaongozwa na mapunguani wasiojua maendeleo hata kidogo. Viongozi na wote waliokabidhiwa madaraka hawaifikirii nchi ila kujifikiria wao tu. Tabia hii imefanya nchi na wananchi wake tudharaulike mbele ya dunia. Inatia aibu sana na hakuna cha kujivunia hapo.
 
najivunia kuwa mtanzania, ila navumilia kuishi na mafisadi make no option, cna cha kuwafanya mimi kama mimi!
 
Am so proud to be a tanzanian... Tuna matatizo yetu kama nchi but i wouldnt swop my nationality for another country.
 
Duh mawazo yako nayasoma nikiwa jana tu kuna Mtanzania mmoja anafanya kazi Sierra Leone, tulikuwa tunazungumza akawa anazisifia nchi za Ghana na Kenya zikiwa ndo airport alizopitia na kuiponda Dar airport ilivyo, kenya airways inapiga mzigo almost Africa nzima, sisi tunagombana kushonesha uniform za wahudumu...
GOD have mercy on TANZANIA.
 
Hapa ndio huwa natamani angalau ningekuwa mchawi ili niwaroge mafisadi wanilimie usiku Wakati watu wengine wamelala...
 
Me navumilia tu,,,,,,ndo maana wenzetu wabeba box huwa hawarud,labda akina malecela
 
Bajabiri una utani na lemutuz the big show @NY DSM hahaha ,huyu aliamua kurudi kugombea akidhani watanzania aliowaacha bado niwajinga kufika akakuta viceversa.so long time am not a tanzanian anymore,i jave no any nationality,until when i saw a stongest leadership with hard and critical decission to fire those mafisadi and inhence retun of our money at uswiss banks only that
 
Last edited by a moderator:
Tz bhana ndio place la ukweli we komaa kivyako mtegemee MUNGU wako. Ila usiguse wala kuchezea mtu ambaye yupo next level juu yako ukizipata nawe unageuka mwiba kwa yule wachini yako haya ndio maisha ya mTZ. Usimlaumu fisadi ikibidi nawe pita njia zake mlesawa. Popote pale kuna njia mbili a.k.a lord(GOD) or dark Side chagua moja msilalamike sana wakat mnajua dunia inavyoenda....:-". Ni hayo tu.
 
Mimi binafsi bado najivunia kuwa mtz sabu bado tunarasilimali nyingi ila navumilia kwa kuwa na viongozi wetu wa hii nchi,naamini ishaallah mda c mrefu tunatapata viongozi waadilifu
 
Back
Top Bottom