M Moony JF-Expert Member Apr 16, 2011 1,599 435 Apr 27, 2012 #1 Naona macho na maskio kwa hawa wezi vijana, vipi huyu nguli aliyetajwa bungeni yeye msafi? Jamani ibueni uozo wote wekeni wazi watanzania wajue.
Naona macho na maskio kwa hawa wezi vijana, vipi huyu nguli aliyetajwa bungeni yeye msafi? Jamani ibueni uozo wote wekeni wazi watanzania wajue.