Hivi MKUKUTA umeishia wapi?

MKUKUTA + MKURABITA vyote kwa pamoja vimeishia kwenye makaratasi tu, hivi vitu vilikufa hata kabla havijaanza!!!
Kifupi vyote kwa pamoja ni JANGA LA KITAIFA

Duh!!...sasa ashitakiwe nani?
 
Dah!! Namkumbuka Mzee Fares Kabuye alipokuwa Mbunge wa TLP ya Mrema Jimbo la kule kwa Magufuli...... Huyu Mzee aliwaponda kishenzi wooote waliopigia debe utumbo huo wa Mkukukukukuta na Mkuraraarraabita na nini sijui.

Kweli ila sikumbuki
 
Kwani wale jamaa wa king'oko wanaitwa something REPAO inausu poverty eradication program wapo Rejent estate karibu na kikwete vp havihusiani na mkurabita na mkukuta

1.Mkakati wa kuwanyanganya rasilimali wanyonge na kuwapa matajiri(mkurabita)
2.Mpango wa kuondoa utajiri na kuongeza umasikini tanzania(mkukuta)
3.Tanzania Sasa hAina Fedha(TASAF)

sasa hizi zipelekwe kwenye kamusi ya kiswahili.... OK?
 
MKUKUTA na mkwe MKURABITA waliza mtoto KILIMO KWANZA, na kutokana na uzee wameaga dunia na mtoto wao KILIMO KWANZA kabemendwa
 
...MKUKUTA na mkwe MKURABITA waliza mtoto KILIMO KWANZA, na kutokana na uzee wameaga dunia na mtoto wao KILIMO KWANZA kabemendwa

nafikiri serikari imetenga maeneo makubwa sana ya kilimo.... na itaweka mabilioni ndani ya miaka mi 5 ijayo...
 
Back
Top Bottom