Hivi mitambo ya DOWANS imewashwa au bado?

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Lile agizo la waziri mkuu pinda kwamba watawasha mitambo hiyo at all cost limetekelezwa lini????; wanaJF hebu tuhabarisheni???????????????????
 
Mahakama kuu iliingilia kati na kuamrisha ya kwamba kibali cha mahakama kinahitajika kwanza kabla ya kufanya chochote kwenye mitambo hiyo. Hii inatokana na kuwepo kwa kesi mahakamani iliyofunguliwa na wana harakati kupinga malipo ya Dowans.
 
dah apa ndo nafksha lsaa la 18 cjauona umeme,nashangaa sana kwann hawa wa2 wanaendelea kuwepo madarakan na nchi imeshawashnda hii nkfria na biashara nazofanya ukwel najckia kufanya 2kio kubwa laana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom