Hivi mgao Arusha umeisha au ni mema ya sikukuu ya Iddi??

<br />
<br />
hahahaahahahahahah,,, mkuu umenifurahisha sana,,, kweli huyo mtendaji ni noma, hadi anapiga simu wakate umeme?? Kweli tanzania patupu,,,
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh!! kumbe na humu jf wamo hawa jamaa. wametusikia na wemeona mapungufu yetu. washauchukua tayari duh!
 
Ohooo!! Hata huku DSM tulifikiri hivyo hivyo now tupo gizani kama popo wakati uPIND'e na KI'wETE wanafaidi umeme. Taaabu kweli kweli. :(
 
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh!! kumbe na humu jf wamo hawa jamaa. wametusikia na wemeona mapungufu yetu. washauchukua tayari duh!
mimi mwenyewe nilipost mida ya saa 11 jioni kufurahi mgao umepungua now tupo tunatoleana mimacho kwenye giza.
 
Naamini TANESCO wako biased na wanawaonea wakazi wa Ars, Mz na Mby. nlikuwa Dar wiki ilopita na nikashangaa sana jinsi ambavyo ratiba ya mgao wa umeme uiivyo poa; umeme unakatwa asb hadi saa 12 jioni. usiku umeme unarudi kabla ya saa 4 ucku ikiwa ulikatwa mchana.

Hivi serikali na TANESCO wanatutaka nini sisi wa Arusha?
 
Leo tarehe 02/09/2011 umeme umekatwa hapa Mwanza kwenye saa Mbili na nusu na umerudi saa moja. Hata mimi najiuliza huu umeme kwanzia Jumanne mpaka asubui ya leo maeneo karibia yote ya nchi hii umetoka wapi??!! Tatizo la Tanzania hii matajiri wengi wanafanya biashara through majanga/madhila/matatizo yanayotukumba maskini. Inawezekana kabisa hili ni tatizo ulafi wa utajiri wa Watawala wetu. Last year's budget 1.7 trillion set aside kuwasaidia wananunuzi wa pamba "stimulus package" this year electricity crisis no money to resolve it. Namsikiliza Dr. Mkumbo kwenye kipindi cha 'this week in perspective' anazungumzia jinsi umeme ulivyorudi Mwanza baada ya Wenje kuunguruma bungeni. Nchi hii full MAGUMASHI
 
Back
Top Bottom