Hivi Mbowe Akihamia CUF utafanya nini?

Mbowe ni kiongozi na mwanachama kama wanachama wengine mbona Dr Aman Kaburu aliama akiwa Katibu Mkuu na chama bado kipo. Mrema aliondoka CCM na bado hipo.
Mtu mmoja hawezi kuvunja chama labda kiwe BMW.
 
hata akiama slaa, au zito kwenda nyinyiem, haitaathiri cdm ni chama kikubwa kipo mioyoni mwa watanzania
 
Nimeipenda Signature yako. MIMI SIO MUUMINI WA CHAMA WALA MTU. Sasa kama wewe ni CDM hebu nijibu utafanya nini?

Huh.....wanachadema wenzangu nafikiri kwa pamoja tuitazame CHADEMA kama taasisi ya watu...tuifanye CHADEMA kama itikadi iliyoko mioyoni mwetu.....CHADEMA ipo si kwa sababu ya MBOWE,SLAA,ZITTO au mwingine yeyote yule bari ni sababu ya dhamira ya watanzania wapenda nchi yao na wanaotafakari uwepo wa nchi yao kwa miaka mingi ijayo.....Tazama leo BOB MAKANI hatunae,,,Wangwe,,,Regia hatunao lakini CHADEMA ipo....hivyo basi atoke yeyote yule let CDM be there....tukibadilisha mitazamo yetu hivi haitatokea tukapata watu watakaojiona ni wamiliki wa CDM.....to me nitaumia sana kwani mchango wake ni mkubwa sana mpaka sasa lakini nitaendelea kuipigania chama changu mpaka tone la mwisho.....Bt He will regret if and only if alikuwa na dhamira ya dhati kwa uma wa watanzania.....RIP BOB MAKANI
 
kweli wewe kimbora kusoma hujui hata kufananisha rangi nako hora.
Ok unamatatizo ya macho otea au kisia basi fananisha hata kwa kushika na kupapasa kama kipofu basi?
 
Safi sanaaa! Kufanya chama kama itikadi hiyo itakuwa DINI tena. Chama ni chama sio kama DINI unafuata bila hata kuuliza maswali. SO MIMI binafsi Siwezi kupokea chama chochote kile eti tu wanasera nzuri. I want to see implementation. Sio maneno yasiyo na mashiko. So:
Point yako nimeipinga.

Chama ni chama siwezi kuweka Moyoni mwangu.
 
kweli wewe kimbora kusoma hujui hata kufananisha rangi nako hora.
Ok unamatatizo ya macho otea au kisia basi fananisha hata kwa kushika na kupapasa kama kipofu basi?

Hivi na wewe unasema nini sasa hapa? Sijakuelewa labda jaribu kutoa maelezo zaidi. Kwanini unasema mimi nina matatizo ya macho? Unaweza ukatoa maelezo?
 
Wewe kama mwanachama wa CDM ikitokea Mbowe kahamia CUF au CCM utafanya nn?

mim ni mwanachama wa chadema na siyo mwanachama wa mbowe ,dr slaa au zito kabwe kwa hiyo hata akihamia cuf ,ccm au kufa mim ntabakia bado kuwa mwanachama hii wa CDM.
 
Back
Top Bottom