Hivi Mbowe Akihamia CUF utafanya nini?

So ikitioke hivyo wewe kama mwanachama utafanya nini? Just imagine

Tunamsimamisha mwingine! CHADEMA ina product ya viongozi imara siyo kama chama cha magamba, hata Shibuda alipohamia CHADEMA chama kilipoteza!
 
Tunamsimamisha mwingine! CHADEMA ina product ya viongozi imara siyo kama chama cha magamba, hata Shibuda alipohamia CHADEMA chama kilipoteza!
Hapo ndio unajibu swali poa basi. Maana jibu la swali kuwa swali hatutamaliza. Itakuwa swali baada ya swali
 
Hivi MBOWE hawezi kuhamia chama chochote kweli?
 
Hivi MBOWE hawezi kuhamia chama chochote kweli?

Anaweza mbona zamani alikuwa CCM, halafu watu wa Kaskazini wengi wao sio wa kuwaamini kwenye masuala ya vyama wanapenda sana kuhama..mfano Slaa, Dk Mrema, Lamwai.
 
Anaweza mbona zamani alikuwa CCM, halafu watu wa Kaskazini wengi wao sio wa kuwaamini kwenye masuala ya vyama wanapenda sana kuhama..mfano Slaa, Dk Mrema, Lamwai.

Hivi kwann baadhi ya watu wanaamini kabisa kuwa CHADEMA dio mwisho wa yote? Mimi nafikiria watu tubadilike TUACHE KUABUDU VYAMA AU WATU. Eti ni chama makini, eti viongozi makini. MIMI siamini kuwa wako makini.
 
Ikitokea wewe ukageuka pimbi utafanya nini?

Toa maelezo unamaana gani? Acha majibu yasio na mashiko. Hivi unadhani Mbowe hawezi kuhamia chama kingine?
 
akihamia cuf ahame na MAJEMBE WENGINE kama dr na lisu, mnyika na babaa kabwe hapo tutahamia cuf woote
 
akihama peke yake hatumfuati kwani sie kwetu cha muhimu ni chama japo mbowe naye ni muhimu..na cdm ni zaidi ya mbowe

Je shibuda akitaka kugombea urais vp hapo?
 
Back
Top Bottom