Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,107
- 2,506
- Thread starter
- #21
Sasa tunafundishana kutongoza,mimi nadhani nimeshakutana na dizaini ya mwanamke kama huyo,huyo hamaanishi kitu chochote siajabu akawa anadharau sana na anakuchukulia simple ndio maana anafanya hivyo,sasa wewe ukiona hivyo then muage alafu usipige simu kama siku tatu au nne alafu uone itakuwaje,
Papizo, mchango wako ni mzuri sana, kwa kuongezea ni kwamba hata ukikaa kimya bado anakutafuta ili muwasiliane eitha kwa ujumbe au kwa sauti! Utaendelea kumchunia?