Hivi mashine inavyochagua software inakuwaje

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
Habar zenyu wanathnker hv nini kinachosababisha mashne kuchagua software(window) mfano ulikuwa unaingiza window xp service packes 2 na iliyokuwepo ilikuwa hiyo hyo ila ki kama umebadili cd au umechukuwa kwa mwingne lakn ni window xp ile ile je tatzo ni nini hapo. Co kwamba imekorapt mwenzio ameweka kwake na ndo anayo2mia wewe inakataa je inasababishwa na nini?
 
japo sijaupata vizuri tatizo laweza kuwa OEM

Kuna kompyuta zinakuwa installed na CD ya windows kutoka manufacturer kama HP, Dell. Acer, Toshba na sio CD ya Microsoft

sasa kompyuta ilokuwa isnatlled kwa CD ya windows ya HP inaweza kupata shida mtu anapotaka kutumia CD ya windows ya Microsoft
japo zote zinaweza kuwa ni XP SP2
 
ninaweza kukubaliana na wewe mkuu mana nililazmisha mpaka nikachukuwa CD ya aina ya mashne ikakubal ninafikir kwa hl ninaweza kukubaliana na wewe kidogo
 
Pia inawezekana burning speed aliyoitumia huyo mtu wakati wakuburn hiyo cd yenyewe kama ilikuwa fast basi itasumbua kwenye mashine nyingi ambazo cd rom yenye reading speed ndogo. so maranyingine inabidi uwe makini unapo burn CD ya OS ili uwe na uhakika kama itasomwa na mashine karibia zote otherwise uwe hauna mpango wa kuitumia kwenye mashine zingine.
 
Back
Top Bottom