Hivi mapepo yanaogopaga kelele?

Eeka Mangi

JF-Expert Member
Jul 27, 2008
3,173
481
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia tokaaaaaaaaaaaaaaaaa tokaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwachie mtu huyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu shindwaaaaaaaaaaaaaaaaa. Basi sauti imefunguliwa mpaka mwisho. Najiuliza MAPEPO YANAOGOPA SANA SAUTI ZA MAKELELE? Ama kuna siri gani hapa?
 
Pelekea Buchanan na X-Paster kule chini,
wale hawana nyongo, huwa hawakasiriki ati?
 
Yaani mi sijui nanzie wapi maana nimepita katika haya makanisa mapya, tena mengi ni yale yaliyopanga kwenye chumba cha 12x12. Nusu ya chumba kinamezwa na spika. Basi wakianza utasikia tokaaaaaaaaaaaaaaaaa tokaaaaaaaaaaaaaaaaaa mwachie mtu huyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu shindwaaaaaaaaaaaaaaaaa. Basi sauti imefunguliwa mpaka mwisho. Najiuliza MAPEPO YANAOGOPA SANA SAUTI ZA MAKELELE? Ama kuna siri gani hapa?

Mkubwa!
Tukimwacha Majimoto humu jamvini,hebu seach hizi namba hewani 0716 75 14 26.
Huyu ni yule jamaa aliyetoaga full data ya mambo ya mapepo!
Na anaenda kwa jina la Kafumu.

Anakwambia ya kwmb kitu kinachoitwa pepo wanachoogopa hakuna zaidi ya mtu aliye na IMANI YA UKOMBOZI WA YESU KIRSTO TU na tofauti na hapo watakuchezea mpaka uone ulimwengu mwingine!

Na sasa hawa wanaoweka maspka makubwa ktk viroom vya 12*12 inaweza ikawa nia.
Lakini neno la Mungu ktk kitabu cha Injili inasema hv "Usidharau mahubiri ya watumishi wake"

Na hakika nakwambieni ya kwamba mengi yatatokea na usipokuwa imara pepo naye anachukuwa nafasi hata kwako.
NB: Baki na IMANI yako tuu!
 
wabongo by nature wanapenda kelele. Iwe kanisani, kazini, kwenye daladala hata ukipanda teksi, kitu cha kwanza dereva atafungulia redio kwa sauti kubwa.
We angalia hata filamu za wabongo saa zote wanapiga kelele.
Kumbuka pia Historia inadai kuwa uhuru wetu uliletwa na mdomo. Hivyo basi ni sawa kabisa kuyatoa mapepo ya kibongo kwa kelele.
Ba-kongo baloba Bongo Makambo mingi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom