Hivi mapenzi yana msimu

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Utakuta mtu anakubali kuwa mpenz wako,anakujibu kuwa anakupenda,mwingine anakuambia mwenyewe kuwa anakupenda.
but kuna wakati ukifika unaona live penzi linayeyuka na baadaye linapotea kabisa.
Know that hapo hata hamjasalitiana au kukoseana.but baadaye unakuta mapenzi yanaisha,yanayeyuka na kupotea kabisa.
kwa hiyo kuna msimu wa mapenzi???
 

ikija kwenye mapenzi nachukulia
kama jiko la kuni huongezi kuni
mtoo una fifia na kufa kabisa..

Si dhani kama kuna msimu wa mapenzi
bali kadiri ya muda unapoenda mbele
mapenzi yanaweza pungua na yasiwe
kama ile siku ya kwanza mlipo kutana..

ndio maana watu hutafuta au
hujaribu kufanya vitu mbali mbali
kuepuka matatizo mbali mbali ya mapenzi ...
 

ikija kwenye mapenzi nachukulia
kama jiko la kuni huongezi kuni
mtoo una fifia na kufa kabisa..

Si dhani kama kuna msimu wa mapenzi
bali kadiri ya muda unapoenda mbele
mapenzi yanaweza pungua na yasiwe
kama ile siku ya kwanza mlipo kutana..

ndio maana watu hutafuta au
hujaribu kufanya vitu mbali mbali
kuepuka matatizo mbali mbali ya mapenzi ...
but why inakuwa hivo,ina mana kati yenu hakuna ambaye ni mbunifu wa trick mpya ya mapenzi?au kuzoeana?maana nadhani true love haina kikomo.
 
Mapenzi hayana msimu na hayapaswi kua na msimu, ikitokea hali km hiyo basi ujue hakuna mapenz hapo! Anyway pole kwa situation uliyonayo mkuu excellent!
 
1.Mnapoanza mapenzi,nyote mnakuwa na matarajio fulani. Matarajio yakikosekana penzi huyeyuka.
2.Penzi la uongo huja ghafla na kwa nguvu na KISHA kupotea vilevile.
3.TRUE LOVE.......Haina msimu mkuu,kila wakati penzi lipo na linamea kila siku.
4.Natofautiana kidogo kwa wanaosema kuwa,yafaa kuyachochea kila siku......well,kabla hayajaiva,chochea sana,yakisha iva kuchochea kwako utakuwa unataka kuyaunguza.
Solution.....FIND A TRUE LOVE.......Na kama umeishaingia kwenye penzi la KIUSANII, Tall anakupa pole. VUMILIA.
KWA BAHATI MBAYA IMEKULA KWAKO.
 
Kama AD alivosema, unaowaona wamekaa miaka nenda rudi wanatumia hiyo technique ya kuongeza kuni kuchochea moto wa mapenzi, ukiwa mbunifu kila siku utatamani kuwa na mpenzi wako, hata leo ukisikia amekukif kesho unaona tena hali imerudia kawaida baada ya kutumia njia mbadala, mnaweza kutoka mazingira mliyozoea, kwenda movie, au hata dinner, mnabadili venue za kufanya mapenzi,jaribu vitu tofautitifauti kila siku mtaona mapenzi yenu ni mapya
 
Suala sio msimu,suala ni msingi wa mapenzi yenu yalianzaje,hata umri wa nyumba unategemea mwanzo wa ujenzi wake,hasa msingi,ndo maana kuna umuhimu wa kujua maana ya upendo,ukijua upendo maana yake matatizo kama haya hayatakuwepo,
 
Yana msimu, ee! This is because man is dinamic for the good or for the bad. Ili awe constant na kile anachokiamini/ alichochagua lazima um-keep busy na kumwonesha kwamba hicho alichochagua hakukosea. Vinginevo anageuza uelekeo! Ndo mana kupenda ni kazi pevu. You must have the stamina to love.
 
Back
Top Bottom