Hivi Mapacha watatu, ndo watu wangapi?

nimie

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
525
104
Au mie ndo sielewi jamani! Hivi ukisema mapacha watatu, unamaanisha kuna watu wangapi? Nahisi kwenye tangazo lao, maneno na picha vimeachana.
mapacha1.jpg
 
pacha, peche, pichi, pocho puchu.........!!

tunatumia hilo la pacha maana hayo mengine hayana maana.....
ilitakiwa waitwe pichi watatu na wakiwa wanne kama kawaida........a.k.a solo
 
pacha, peche, pichi, pocho puchu.........!!

tunatumia hilo la pacha maana hayo mengine hayana maana.....
ilitakiwa waitwe pichi watatu na wakiwa wanne kama kawaida........a.k.a solo

Hii nadhani unaweza kuianzishia thread yake, duh!
 
walitakiwa wawe sita!

unasemaje? wasiitwe hivyo.....sometime somethings just happen
 
walitakiwa wawe sita!

unasemaje? wasiitwe hivyo.....sometime somethings just happen

Yes Waberoya, that's it. Kwa sababu ukisema pacha, huyo ni mmoja (a member of twins). Kwa hiyo mapacha watatu inamaana ya jozi tatu za mapacha. Nilidhani ingekuwa sahihi kutumia "pacha watatu". Hiyo ndo kwa mujibu wa uelewa wangu.
 
hivyo ndo walivyomaanisha,kwani wewe location yako humu humu,kuna sehemu inaitwa humu humu,punguza complication

Unashangaa na "Humu humu" wewe! Sema hujui Humu humu iko wapi, kwani ulitegemea kutakuwa na maeneo kama Mchambawima, Uzini, Tunduni, nk. Punguza povu mkuu!
 
Back
Top Bottom