Hivi mapacha huwa wanakuwa na maadili mabaya?

Inauma sana mkuu, yaani enzi zile ukikuwa na atlas tu basi warembo wote darasani wanakuona ban ki moon

watoto wa walimu walikuwa nazo na wale watoto wa wenye maduka ya reja reja.halafu mbona atlas yako haikuwa na cover ya juu halafu kichafu
 
afu unawakusanya, mnaanza kucheza ile ya kuambiana tafuta mji wa Kamashika.

Anayepata anawaambia kutafuta.
Wasichana walikuwa wanaupenda.

Kipindi hicho atlas na kompasi ilikuwa anasa.
Inabidi wengine tuwe na makompazi ya mafuta ya yolanda lol

Inauma sana mkuu, yaani enzi zile ukikuwa na atlas tu basi warembo wote darasani wanakuona ban ki moon
 
afu unawakusanya, mnaanza kucheza ile ya kuambiana tafuta mji wa Kamashika.

Anayepata anawaambia kutafuta.
Wasichana walikuwa wanaupenda.

Kipindi hicho atlas na kompasi ilikuwa anasa.
Inabidi wengine tuwe na makompazi ya mafuta ya yolanda lol

hahahahaaaa....hapa lazma nicheke tena sana...ala!yolanda asee...
kompaz langu lilikua na noti...nilikuwa nawanasa kina KABY wa enzi hizo...
 
unazipanga chini ya kompasi
afu kila saa unazihesabu
break ya saa nne ikifika
unakuwa Tycoon . . .

hahahahaaaa....hapa lazma nicheke tena sana...ala!yolanda asee...
kompaz langu lilikua na noti...nilikuwa nawanasa kina KABY wa enzi hizo...
 
unazipanga chini ya kompasi
afu kila saa unazihesabu
break ya saa nne ikifika
unakuwa Tycoon . . .

na kalam kibao zingine zimeisha wino miaka kibao iliyopita...ilimradi tu zina mwonekano mzuri...
japo walikua wananijua kua pen (pens:km ipo) zaid ya wote!
 
jana tu mkuu mmoja alinisimulia kuwa pacha wake
mmoja kafanya bonge la fujo school karudishwa kwao na escort,
na yuko fom foo.

pacha wakwetu walikuwa wanamchanganya mama (makichimbi kwa jina) yao, mmoja anakula
akitoka kidogo anarudi kudai tena chakula akijifanya ni mwenzie, kwa hiyo mmoja anakula mara mbili
mwenzie akija anakuta hakuna kitu (walikuwa wanafanana kiasi kwamba hata mama yao ilikuwa ngumu kujua yupi ni yupi)
ila walikuja kufariki (R.I.P.) wakiwa watu wazima.

pacha wengine pale mbeya walikuwa wezi ile mbaya.

sijawahi ona pacha waliokamilifu, sorry for this.
 
kama kuna mdau anayeishi kinondoni manyanya naamini atakuwa anajua mapacha flani wa mtaa wa wibu hao walikuwa mikosi kwa wizi!!!mmoja aliuwawa!mwenzake sina uhakika.......
 
mkuu wachaaa ukikutanaa na mapachaa walio pindaaa,usiombee..kuna mapachaa flani wamefanana kama malapa wako arusha,walee wamepindaa laana,mwaka janaa mmoja wao baada ya kutoka via via akaenda mitaa ya mnara wa saa,saa 7 kweusi, kuzingua wale dada poa japo wa mpee sigara,akaingilia ugovi wa dada poa alie pindaa,yulee dadaa poaa si akamchomo kisu...mtu chaliii,kushney watu wakakombaa kilaa k2,kupelekwa hospt kakata moto,kabakii pachaa mmoja naona kwavilee alikuwa kamzoea mwezake now anakulaa miungaa 2.
 
Back
Top Bottom