Hivi mambo haya bado yanaruhusiwa kweli?

MAKOLE

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
618
280
Nilisikia watoto wadogo si ruksa kushiriki siasa, sasa inanishangaza hapa wakati wa mapokezi ya NAPE huko Rukwa. Tazama picha hii kwa mujibu wa MICHUZI Blog.

13.jpg
 
Wapi watoto walikatazwa? Mbona mbunge wa Mbeya mjini ni mtoto
 
Eeh!
Kuweni makini, usikute wana vitambulisho vya kupigia kura hao!!!! Manake hakuna ajuaye jk alipigiwa kura na nani!!!
 
Watoto hawaruhusiwi kwa wapinzani ila kwa chama tawala wanaitwa chipukizi kwa raha zao
 
wamerudisha chipukizi,!??? ukute hao watoto walishalambwa stick na walimu wao ili wakubali kuvaa rangi hzo, hebu watazame sura zao!
 
Mkuu unashangaa nape kupokelewa na WATOTO?akubaliki kwa WAKUBWA!!!!!!!!!!!!!na watoto nilaisi kuwarubuni,ukinunua mifuko kadhaa ya pipi umemaliza kazi, hata JOSEPH KON wa Uganda alianza ivyo ivyo
 
Mkuu unashangaa nape kupokelewa na WATOTO?akubaliki kwa WAKUBWA!!!!!!!!!!!!!na watoto nilaisi kuwarubuni,ukinunua mifuko kadhaa ya pipi umemaliza kazi, hata JOSEPH KON wa Uganda alianza ivyo ivyo
ha ha ha ha! masikini hapo utakuta ni watoto wa shule ya msingi wamelazimishwa na walimu wakuu(ambaye analinda kibarua chake na ufisadi wake) na kuwadanganyia juisi na mavazi mkuu.
 
Back
Top Bottom