Elections 2010 Hivi Malaria Sugu ndiyo Mzee wa Kiraracha nini?


Ni kweli kabisa. Huwa hachangii topic za wengine -- kazi yake kubwa ni kusokomeza, au tuseme kuzi-force zake tu humu JF.

MS hawezi kabisa kuchangia za wengine kwani hana ile capacity ya constructive, sophisticated argument -- na hii bila shaka ni kutokana na elimu ya mpakazo tu -- au hakuna kabisa. Naweza kumlinganisha na wengi katika umati uliokuwapo katika ukumbi wa Kizota -- kule Dom! Hawa wanachojua kuimba ni kitu moja -- JK, basi -- akili imeganda hapo hapo tu. Constructive arguments = NIL!
 
D Sallu
We are all entitled to our opinions
Whats' in a name???? call me anything bt that wont change the innerself in me.
The problem with the likes of you is that you are tied with biased minds, dogmas as for me id rather be like IKARUS[If you know what i mean].
Kuhusu uchomekeaji wa MS hebu fanyeni utafiti wangapi huangalia thread zake na wangapi huchangia [whether supporting his views or otherwise.
Humu ndani tunatakiwa tuwe thinkers who dare to speak our minds na siyo porojo porojo tu .
 
huu utoto wa wana jf ufe
sio muda wa kukaa na kuanza kumhisi mtu humu ndani andika unachoweza tuangalie pumba mchele tuondoke nao
usirudie tena

MOD Take note n 4give
 
Back
Top Bottom