Elections 2010 Hivi Malaria Sugu ndiyo Mzee wa Kiraracha nini?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Wana JF, nilimsikiliza mwenyekiti wa TLP, I was realy fed up!!! Jamaa nadhani amepukutika upstairs. Hivi anaweza kuwa ndiye Malaria sugu humu jamvini nini? Hivi akiingia bungeni kupitia (anakodai alitumwa na Mwl. nyerere) jimbo la Vunjo si tutakuwa tumepata hasara sana?
 
Hawezi akawa ALM, ambaye sidhani iwapo anajua hata namna ya kutumia JF, let alone the Internet. Pili MS anapromote sana Uisilamu.
 
Wana JF, nilimsikiliza mwenyekiti wa TLP, I was realy fed up!!! Jamaa nadhani amepukutika upstairs. Hivi anaweza kuwa ndiye Malaria sugu humu jamvini nini? Hivi akiingia bungeni kupitia (anakodai alitumwa na Mwl. nyerere) jimbo la Vunjo si tutakuwa tumepata hasara sana?
hata kama siye lakini ndo wale wale
 
Haiwezekani Malaria Sugu akawa mzee wa kiraracha.
MS ni free thinker who dares to speak his mind. Kuna wakati inawezekana asieleweke na hivyo kutafsirika ndivyo sivyo.He is what he is NA na haoni soo kueleza anavyoona wakati mzee wa kiraracha ni mere opportunist.
 
Mrema hawezi kuwa ndiye MS kwakuwa Mrema hawezi hata kidogo kutumia kompyuta,ni kilaza..Nenda kwanye ofisi yake utacheka mpaka uzimie..Malaria Sugu ni kichaa fulani hivi asiyejua A wala B ya siasa,anabahatisha tu..Hivi umeshawahi kumuona akichangia hoja za wengine zaidi ya zile anazoanzisha yeye tu mabazo nyingi zake ni za kichokozi tu?mfuatile uone..
 
Ni kweli kabisa. Huwa hachangii topic za wengine -- kazi yake kubwa ni kusokomeza, au tuseme kuzi-force zake tu humu JF.
 
Mrema hawezi kuwa ndiye MS kwakuwa Mrema hawezi hata kidogo kutumia kompyuta,ni kilaza..Nenda kwanye ofisi yake utacheka mpaka uzimie..Malaria Sugu ni kichaa fulani hivi asiyejua A wala B ya siasa,anabahatisha tu..Hivi umeshawahi kumuona akichangia hoja za wengine zaidi ya zile anazoanzisha yeye tu mabazo nyingi zake ni za kichokozi tu?mfuatile uone..

MS; thanks=0, kwa jinsi alivyokuwa mbinafsi na asiyekubali ya wengine, hata umsifie atakuwa upande wa pili
 
Back
Top Bottom