Hivi, Makamu wa Rais, Ghalib Bilal yupo?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema kuwa angekuwa na uwezo wa kutoa discipline kwa makatibu wakuu na mawaziri basi angefanya hivyo ila alitaka kuwasiliana na JK ambaye alikuwa hewani (flying) kuelekea South Africa. Leo kwenye gazeti la Mwananchi, 20/07/2011 amesema amekwisha ongea na Jk na kupewa maelekezo ya namna ya kushughulikia suala hilo la bajeti ya nishati na madini kukataliwa.

Kama makamu wa Rais yupo nchini iweje Pinda amtafute JK tu wakati katiba inasema 47 (1) (a) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi?
 
Hiyo nafasi ya umakamu wa rais inapwaya sana.....labda mpaka ikitokea rais amepoteza maisha au mgonjwa asiyejiweza ndio tunaweza kuona impact yake. Nadhani ndio sababu Shein aliitosa.
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema kuwa angekuwa na uwezo wa kutoa discipline kwa makatibu wakuu na mawaziri basi angefanya hivyo ila alitaka kuwasiliana na JK ambaye alikuwa hewani (flying) kuelekea South Africa. Leo kwenye gazeti la Mwananchi, 20/07/2011 amesema amekwisha ongea na Jk na kupewa maelekezo ya namna ya kushughulikia suala hilo la bajeti ya nishati na madini kukataliwa.

Kama makamu wa Rais yupo nchini iweje Pinda amtafute JK tu wakati katiba inasema 47 (1) (a) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi?

Bilal sawa na joka la kibisa
 
Anakazi maalum, kuingiza tanzania katika OIC na kuanzisha mahakama ya kadhi.
 
Jamaa yupo, ila anamipaka kwenye kaz. Kama lile la kumpa sapot JK kwenye ndoa ikulu.! Ila co kumchomoa JAIRO
 
Cheo cha makamu wa raisi bora kifutwe, hana kazi anayofanya, mara ya mwisho nilimuona kwenye arusi ya mdogo/kaka ake JK
 
huyo ni celebrates tu...wanapeana hivyo vyeo kulinda muungano.
Our country is presidential system so either nafasi ya makamu au waziri mkuu inatakiwa iwe droped.
Haiwezekani mtu anaye cost kodi za watanzania kiasi hicho kazi yake iwe ni kufunua vitambaa na kufungua matamasha.
Ndo maana JK alimkejeli aombe nafasi ya kufundisha mambo ya physics pale UDOM:
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema kuwa angekuwa na uwezo wa kutoa discipline kwa makatibu wakuu na mawaziri basi angefanya hivyo ila alitaka kuwasiliana na JK ambaye alikuwa hewani (flying) kuelekea South Africa. Leo kwenye gazeti la Mwananchi, 20/07/2011 amesema amekwisha ongea na Jk na kupewa maelekezo ya namna ya kushughulikia suala hilo la bajeti ya nishati na madini kukataliwa.

Kama makamu wa Rais yupo nchini iweje Pinda amtafute JK tu wakati katiba inasema 47 (1) (a) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi?
Aliwekwa hapo kuwafunga mdomo wa zenj,ili wasilete vurugu wakati wa uchaguzi.No more
 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema kuwa angekuwa na uwezo wa kutoa discipline kwa makatibu wakuu na mawaziri basi angefanya hivyo ila alitaka kuwasiliana na JK ambaye alikuwa hewani (flying) kuelekea South Africa. Leo kwenye gazeti la Mwananchi, 20/07/2011 amesema amekwisha ongea na Jk na kupewa maelekezo ya namna ya kushughulikia suala hilo la bajeti ya nishati na madini kukataliwa.Kama makamu wa Rais yupo nchini iweje Pinda amtafute JK tu wakati katiba inasema 47 (1) (a) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi?
Me nilishaga sahau kama kuna makamu wa JK hapa TZ,maana hasikiki kabisa anakula mshahara wa bule na posho tu.
 
Bilali is NOTHING hapa tanganyika-yupoyupo tu-nazani nae analitambua hilo-kwangu mimi ni kiongozi ambaye hata nikimuona kwenye tv-nabadili channel-SIMTAKI
 
Kama kuna kiongozi amepwaya bilal nafikiri anaongoza mm sijui anafanya ananyooshaga mdomo tu akiongea kwenye matamasha!
 
Mara ya mwisho nilikutana naye maeneo ya Olduvai Geoge njia ya kwenda Serengeti akiwa na wake zake watatu akishangaa simba na msafara wa magari kama 18 na zaidi hata watalii walimuona kama ni kero! unakuja kutalii na ulinzi wa FFU wanini?
 
hahahaha.....true mate
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom