Hivi MAGUFULI ndio nini kuzindua stendi ambayo haina choo?

duh! mwanzisha thread napata wasiwasi na umakini wako wa kufuatilia habari...do ur h/work plz

Mkuu mimi niliangalia kile kituo mwezi mmoja uliopita na nikaona vyoo hamna na nikashangaa sana. kituo cha gharama sana na kimejengwa ndani ya road reserve na choo hamna. Baadae nikagundua kuwa sina haja ya kushangaa maana nchi yetu huwa ni ya kusadikika na watu wake huwa wanashangaa kila kitu.
 
ni ile ya mbezi mwisho hata kwa kukojoa hamna.napata wasiwasi na umakini wa waziri.!

''Feasibilty study ya choo imemalizika na sasa tuko kwenye mchakato wa kutafuta mkandarasi''- Magufuli alisema
 
Nionyeshe choo kilichopo stendi za POSTA,AKIBA,K'KOO,BOMA,MANZESE,SHEKILANGO,SINZA(kwaremi,mori,madukani etc)MAKUMBUSHO,KAWE,PALM BEACH, ETC..... ! LETENI VITU VYA MSINGI VYA KUJADILI.....! INGEKUWA STENDI YA MIKOANI HAPO SAWA!

kalibu dar, umekujana na basi la kutoka mkoa gani , ila nikukubali kitu cha kwanza ulicho muuliza mjomba wako aliyekupokea ni majina ya vituo vya daladala, sasa chini ya hilo karatasi uliloandika majina ya vituo ongezea na hili dar kuna stend za daladala ungemuuliza pale ubungo kabla ya mataa kuna stend ya daladala, mwenge ipo, mbagara ipo na hii ya mbezi,
MWENGE, UBUNGO NA MBAGARA ZINA VYOO. hivyo vituo vya daladala kajisaidie kwenu
 
Back
Top Bottom