Hivi mafia iko zanzibar au tanzania bara?

Fredrick Sanga

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
3,153
697
Kuna kitu kilinijia katika akili, na nikaanza kutafakari suala hili. Nchi ya Tanzania ina Tanzania Zanzibar na Tanzania Bara. Tanganyika haipo tena (Miaka 50 ya Tanzania Bara, Stuka). Sasa Mafia katika sherehe ile iliondolewa maana haipo bara. Labada sielewi maana ya bara. Lakini hii inanitia wasi kuhusu hili jina la Tanzania bara kuchukua jina ka Tanganyika. Kama mafia iko visiwani basi ipate kiti baraza la wawakilishi kule Tanzania Visiwani.

Neno Tanzania bara limeiondoa Mafia?
 
Labda Kikwete anaweza kusema Mafia iko Zanzibar ili kuwatuliza Wazenji wasiendelee kuujadili muungano! Kama alivofanya kwenye uteuzi wa baraza la mawaziri ktk Wizara ya Afya isiyo ya muungano lakini kamteuwa dogo wa Mwinyi kuwa Waziri kutoka Zenji.
 
Mafia iko mkoa wa Pwani katika nchi ya Tanganyika. visiwa viko vingi tu Tanganyika hata Nyakatombe ni kisiwa vile vile.

Tatizo ni hili jina ulilopewa Tanzania Bara wakati kuna visiwa, sijui kama unanielewa. Ukisema mafia iko Tanganyika nakuelewa. Lakini Tanganyika ipo?
 
Waulize Tanganyika Law Society ni kwa nini hawajiiti Tanzania Mainland Law Society. hawa ni Wanasheria wanajuwa wanachokifanya.
 
Mafia ni moja ya visiwa vya Tanzania Bara, kuna visiwa vingi tu Tanzania Bara kama Ukara, Kamanga, Nansio, Katunguru, Uzinza, Kigamboni, Karumo, Kisiwa cha Juma, Nyamurutunguru, Izinga, Gana, Burubi. Muriti, Igalla, Namilembe, Kagunguli.
 
Ukifika Slipway Masaki, kuna boat huwa zinapeleka watu kwenye hivyo visiwa ambako viko jirani na fukwe za Dar es salaam na hasa Watalii.

Kumbe mambo ya mjini unayajua leo takuwepo huku kupumzisha kichwa karibu sana...takuwa na vijana wawili wa IFM.
 
Mafia ni moja ya visiwa vya Tanzania Bara, kuna visiwa vingi tu Tanzania Bara kama Ukara, Kamanga, Nansio, Katunguru, Uzinza, Kigamboni, Karumo, Kisiwa cha Juma, Nyamurutunguru, Izinga, Gana, Burubi. Muriti, Igalla, Namilembe, Kagunguli.
Ndio maana watu huwa wanaferi mitihani, hapa tunaongelea Indian Ocean na isitoshe Kigamboni Dar es salaam siyo kisiwa licha wa kwamba kuna option ya kuvuka kwa Ferry Boat.
 
Ritz hivi visiwa vyote watu wanaishi huku? mtu unaweza kununua eneo au ni mali ya serikali i mean hifadhi?
 
Ndio maana watu huwa wanaferi mitihani, hapa tunaongelea Indian Ocean na isitoshe Kigamboni Dar es salaam siyo kisiwa licha wa kwamba kuna option ya kuvuka kwa Ferry Boat.

Kumbe tupo kwenye chumba cha mtihani...
 
lazima ugonge sapu leo
ameshatoka si unaona nondo alizoshuka hapo chini sema sina uhakika kama kuna kisiwa kinaitwa kigamboni

Back
Top Bottom